Je hili kweli kuhusu ndoto..

mbweta

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
600
81
Jaman nilishawahi ambiwa kuwa katika ndoto unaweza waota watu mbali mbali lakini sio mpenzi wako, mie binafsi hili jambo linakaukweli fulani sijawah muota mpenzi wang. Pia wanasema ukimuota mpenzi wako au mtu unae mfwatilia ili awe mpenz wako humpati na kama tayari ni mpenzi wako basi mtaachana mda sio mrefu. Je kuna mtu yoyote amewah muota mpenzi wake?
 
Mi nimewah kumuota tena saana, lkn waala hakuna dalili za kuachana. Ni iman tu na ukiamin inatokea kweli. Sbb ndoto ni mawazo unayowaza, sa hw comes ukamuwaza mpenz wako then ukamuota mkaja kuachana?? SI KWELI
 
Yeuwiiiiii kama kweli namii naomba nimuote uyu sasa manake

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hivi suala la kuota ndoto limekuwa tendo la hiyari sio?
 
Back
Top Bottom