Recent content by Kidobama

  1. Kidobama

    picha za vinega zinaongea bila hata maneno yoo part 2

    Silence speaks Volume! Safi sana Daudi Mchambuzi! Picha zime nena vya kutosha!
  2. Kidobama

    Ona hii Haya Ndio Maandalizi ya Kummaliza Ruge Tarehe 26/11/2011

    CLOUDZ FM WAMETHUBUTU, WAMEWEZA NA WANASONGA MBELE KUUA SANAA YA BONGO! Jiunge na mavinega tuscan mavirus na wanafiki CLOUDZ! LONG LIVE SANAAAA! SHORT LIVE CLOUDZ!
  3. Kidobama

    Mbeya na mambo yao

    dah mbeya noma! mmesahau kandoro anapatikana mbeya nae! hahahahaha!
  4. Kidobama

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    kuna vitu ni bora vipite tuu bila komment yeyote ile!
  5. Kidobama

    Sugu moto chiniii!!!

    Nyerere aliwahi kusema tatzo linalo tusumbua wa afrika ni umaskini wa fikra na mgando wa mawazo! Hongera kwa kulidhibitisha hili baada ya miaka 50 ya uhuru wa so called Tanzania!
  6. Kidobama

    Bravo JK kuwatolea nje Balozi shoga wa Uingereza!

    a beggar z not a Chooser so njia nzuri tujivue gamba la ubeggar!
  7. Kidobama

    Bravo JK kuwatolea nje Balozi shoga wa Uingereza!

    a fool may do something good but don't praise him cause at the end he will do something bad to prove that he z still a FOOL! sasa wewe Cameron unazo kweli!??
  8. Kidobama

    Kova: Maandamano ya DOWANS kesho marufuku!

    Ama kweli fumbo mfumbie mjinga mwerevu atalifungua! Al shaabab watakuja kwenye maandamano alafu waache mechi ya simba na yanga!? Hebu tusifanyane watoto jamani! Wewe Kova na wenzako jiongezeni upeo wenu wakufikiri!
  9. Kidobama

    GE2010 Igunga: Mbunge Esther Bulaya [CCM] awaomba radhi polisi

    Haki imeenda likizo!? hii nchi (hasa kwa watawala) inaleta masihala kwenye maswala la msingi! Ushemeji na Uwifi serikalini wakati mimi mshenga mwananchi nataabika, tutaonana wabaya jamani!!!!!
  10. Kidobama

    Miaka takribani 50 ya Uhuru Tanzania: Ni yapi ya kujivunia?

    Dah! JK umewabip vijana na wamekupigia! Jipange mzee!
Back
Top Bottom