Bravo JK kuwatolea nje Balozi shoga wa Uingereza!

hahahahaaaa

Umenikumbusha hadithi za Sungura kamkaba Tembo.

teheteheeee
 
Nilikuwa nasikiliza redio moja ya hapa jijini mchana huu na kati ya mambo yaliyojiri ni utambulisho wa Balozi mmoja mgeni wa Uingereza ambaye nchi yake ilimteua ili aje awe Balozi hapa kwetu.

Balozi huyo shoga kaoa mwanaume mwenziwe. Mambo ya nje kuona hii ni issue hot ilimpelekea JK suala hili na kulingana na Waziri Membe JK alistushwa na kutamka "Yallahi toba!!!' Baadaye akakataa katakata kumpokea Balozi huyo.

Nampongeza JK kwa hilo, limetudhalilisha sana swala la huyu David Cameron kutaka kutushutisha ushoga wao nchi za Dunia ya Tatu

Source :East Africa Radio-Zembwela na Baruti

I'm pulling my GUINNESS BOOK OF RECORDS ili nirekodi tukio la kwanza kwa JK..... Nahitaji nimsikie na kumwona mwenyewe... Sorry for becomming Thomas.....!!!! for the moment....!!!
 
Nilikuwa nasikiliza redio moja ya hapa jijini mchana huu na kati ya mambo yaliyojiri ni utambulisho wa Balozi mmoja mgeni wa Uingereza ambaye nchi yake ilimteua ili aje awe Balozi hapa kwetu.

Balozi huyo shoga kaoa mwanaume mwenziwe. Mambo ya nje kuona hii ni issue hot ilimpelekea JK suala hili na kulingana na Waziri Membe JK alistushwa na kutamka "Yallahi toba!!!' Baadaye akakataa katakata kumpokea Balozi huyo.

Nampongeza JK kwa hilo, limetudhalilisha sana swala la huyu David Cameron kutaka kutushutisha ushoga wao nchi za Dunia ya Tatu

Source :East Africa Radio-Zembwela na Baruti
Samahani, lakini kwa hapa inabidi nihoji source na hawa source wetu. Hawa waliliipata wapi habari hii. Nauliza hivi kwa sababu hawa jamaa kwa porojo, hawawezekani.
 
Misaada gani kwanza!!Watu tumejaa shida kwangu paku pakavu...Natamani angekuwepo Baba wa Taifa(Nyerere) huyo Cameron angekutana na za uso ambazo zingemtia adabu sio hawa viguu na njia matokeo yake ndo haya wanaume tunatukanwa ndani ya Nchi yetu.
 
katika mambo yote ninayomsifu rais wangu ni hili la ujogoo!! nadhani nchi za africa zinapaswa kutoa tamko hata ikiwezekana zitangaze kujitoa common weath.
at least afanye kitu kitachoweka listi ya maamuzi kama pres. Of sovereign state
 
Tobaa! Haki ya kwenda kinyume cha maumbile!!!!!?? Cameroon aachwe na ngawila zake nasi tubaki na utu wetu...kwani msaada lazima uingereza tu! mbona bado kuna wafadhili wengi na wa maana kuliko hao.
I second you. Tukinyimwa misaada tutajifunza kutumia vema mali zetu
 
Huu ni mtiani wa kitoto kutoka UK. Jibu lake ni kumkubali tu huyo balozi anayependa ukuta na kutokuonesha panic ya aina yeyote. Tukifanya hivyo tutakua tumefunga goli la maana sana. Tukifanya kuwa tume maind sana na hata kumkataa mheshimiwa balozi wa Malkia wa UK itatuingiza kwenye box fulani ambapo tutaanza kuchunguzwa, na kusemwa!

Tuna mambo mengi ya maana ya kusimamia kuliko kuangalia orientation za watu. Amini usiamini, hata hapa nchini kwetu wapo hawa watu. Je tutawafanyaje nao hao wakwetu?
 
Mimi ninapenda sana dhana ya kutokujenga uadui na watu waliotuzidi kwa nguvu. Machiavelli alisema kuwa unatakiwa utafute kujenga alliances na mataifa yenye nguvu ili na wewe usiangamizwe. Alisema kutafuta uadui na waliokuzidi kamwe hakutakufikisha mahali pa maana. Siyo tu utakosana na UK, bali na mataifa mengi sana ambayo yanafuata sera za Machiavelli.

Tusije tukawa Zimbabwe
 
Nilikuwa nasikiliza redio moja ya hapa jijini mchana huu na kati ya mambo yaliyojiri ni utambulisho wa Balozi mmoja mgeni wa Uingereza ambaye nchi yake ilimteua ili aje awe Balozi hapa kwetu.

Balozi huyo shoga kaoa mwanaume mwenziwe. Mambo ya nje kuona hii ni issue hot ilimpelekea JK suala hili na kulingana na Waziri Membe JK alistushwa na kutamka "Yallahi toba!!!' Baadaye akakataa katakata kumpokea Balozi huyo.

Nampongeza JK kwa hilo, limetudhalilisha sana swala la huyu David Cameron kutaka kutushutisha ushoga wao nchi za Dunia ya Tatu

Source :East Africa Radio-Zembwela na Baruti
Haya yametokea lini na huyo balozi anaitwa nani navyojua Kikwete hana ubavu wa kumkataa balozi wa uingereza.
 
a fool may do something good but don't praise him cause at the end he will do something bad to prove that he z still a FOOL! sasa wewe Cameron unazo kweli!??
 
katika mambo yote ninayomsifu rais wangu ni hili la ujogoo!! nadhani nchi za africa zinapaswa kutoa tamko hata ikiwezekana zitangaze kujitoa common weath.
Tabia ya kishoga si tu inakosa ustaarabu bali pia kama alivosema mkuu Majoja hapo juu ni ya kishenzi.
Ni dharau kubwa kwetu kukaribishwa ushenzini kwa ahadi ya pesa, hilo ni tusi kubwa.
Kwa kuliona hilo nampongesa sana JK kwa kutunza heshima ya waafrika, heri kuwa masikini.
 
Back
Top Bottom