Amekuwa na amesimamia kesi makumi plus na zote ameshinda. Ni umahiri gani ulitaka zaidi ya huo? Watanganyika tuone soni, uongo hausaidii, tujisahihishe, tutachekwa na majirani.
Amekuwa na amesimamia kesi makumi plus na zote ameshinda. Ni umahiri gani ulitaka zaidi ya huo? Watanganyika tuone soni, uongo hausaidii, tujisahihishe, tutachekwa na majirani.
Kwa mbaali kama kuna kitu kinaandaliwa kilandane na majibu ya madodoso ya ile tume ya Cd na hii nyingine. Kuhusu pesa ya kulipwa vijana waliokinukisha oktoba. Ni maoni yangu. Ngoja tuone mwisho wake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.