Recent content by Kidenga

  1. K

    JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu vyote jirekebisheni kuna namna mmepotoka kidogo.

    Nashindwa kuelewa kama ulijaribu kufanya tafakari ya hiki ulichokiandika. Fikiria unauwezo wa kudahili wanafunzi 40 kwenye programme X. Sasa wameomba 1000. Jifanye wewe ni chuo M. Niambie utatumia njia gani ya kupata hao wanafunzi 50 kujaza nafasi ulizonazo bila kutumia mchujo wa ufaulu.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wazamiaji SGR Business Class tujuane!

    Una ujinga mwingi sana. Huoni hata aibu kwa huu upumbavu unaoufanya.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu unapoamua kuoa mwanamke mchaga unapaswa kujua haya

    Kwahiyo wachaga wote hawana baba . Manake kama uliyoandika ni kweli inamaana manaume wote waliooa wachaga hawakuzeeka Hii mada ina chuki ndani yake.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Upinzani wa Tanzania: Je, Mnajua Mnachokitaka?

    Asante mkuu kwa sifa hii mpya uliyonipa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Upinzani wa Tanzania: Je, Mnajua Mnachokitaka?

  6. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania Tuache Kushabikia Tukio lisilo la Kimaadili Raia Kupigana na Askari Tena akiwa Kazini

    Nipende kutoa rai kwa watanzania kuacha kushabikia kitendo kilichofanywa na Daktari kupigana na askari tena akiwa katika majukumu yake. Mambo kama haya yakishabikiwa kila mtu kuchukua sheria mkononi Tutahatarisha usalama wetu wenyewe Hili ni jambo baya na Nashauri Dr. Aliefanya jambo hili...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa (UN) wapiga kura kupitisha ramani mpya ya dunia ili kuonyesha ukubwa halisi wa Afrika

    Kumbe ukweli ambao unaweza kupimwa kwa vipimo halisi hauwi ukweli kamili bila kupigiwa kura. ? Ni jambo la kufikirisha na la ajabu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kumbe Wakoloni walishajenga mabwawa ya umeme kama hili la Nyerere kwa kitambo sana!

    Usione aibu kupongeza jambo zuri . Acha porojo za wakoloni wewe pongeza tu hata kama uliusagia kunguni. Hili Taifa tunawatu wengi sana wasio litakia mema. Tusijidanganye uzalendo ni kila kitu katika nchi. Huwa tunajidanganya kwenye Tv lakini ukienda hata nchi zilizoendelea lazima uwe na...
  9. K

    JamiiForums Tanzania HOJA Tuliovaa Jeans, T-shirt, raba tumezuiwa kufanya usaili katika ajira ya TRC, hii ni sawa?

    Hakuna kuonewa huruma hapa ni ujinga kiwango cha lami kuvaa Mavazi ya disco kwenye interview. Lazima ujifunze . Interview ulisikia tangulini unaenda na T shirt? Naiwe fundisho
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mtumishi wa Umma, nilikopa 20m, nimejenga, kulipa imekuwa mtihani, sijui cha kufanya, nisaidieni

    Pambana kufana kupona upate kazi itakayoongeza mshahara wako kama ni mwalimu omba kazi kama patron, admission officers au examination officer kwenye vyuo vikuu. Itakusaidia. Usine kufanya kosa la kutop up au kuongeza muda wa marejesho kwani unakwenda kujiumiza kwenye riba. Mkopo wowote wa zaidi...
  11. K

    JamiiForums Tanzania HOJA Mimi ni mwajiriwa Serikalini. Nilikopa, ila nimefeli malengo nahisi ninaenda kupotea

    Kama na wewe biashara yako ilikufa kwanini uone mkeo ni mzigo. Inawezekana unampa biashara hapo hapo unamwachia na masuala yote ya jikoni. Lazima biashara itakufa. Mke anaweza kuwa kibiashara hayupo vizuri lakini kama ana utii unaweza mfundisha na mwisho wa siku mkawa na mtazamo ambao...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ai ina mapungufu na haiwezi kuchukua nafasi ya kila mtaalamu, lakini tayari imeanza kuwakosesha pesa Graphic designers, waandishi, programmers. n.k

    Kwenye Programing nikama imeamua kumfanya system analyst amalize kila kitu. Yajayo yanafurahish
  13. K

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Kifahari Kwenye Magari ya Umma, Huku Familia Ikisugua Benchi

    Kwa ulivyotiririka kwa maelezo mengi ya kukandi si bure kuna dereva alikanyaga Dimbwi ukaloa. Waache watu waishi maisha yao we ishi yako.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Iran yamtaka Trump awazuie Israel wasiwashambulie. Wawaache wazike kwa amani

    Tusishabikie vita. Hii vita imetuumiza sana . Mafuta yametoka 2800 mpaka 4100 na bado tunashangilia na kushabikia?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Je, kuna ukweli kuwa waafrika weusi tumelaaniwa? (World cup rant)

    Uwe unasoma na kuelewa acha papara
Back
Top Bottom