Recent content by kidege_mwitu

  1. K

    JamiiForums Tanzania CCM yazidi kuangukia pua Arusha

    CCM mapoyoyo kweli walijua watachukua kitaa chetu oyeeeeeee......wamekaa tangu asubuhi wanasubir wafalme chadema tuchukue atrick yetu kama platnumz
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mama Tibaijuka hebu kuwa serious! Mbona unatufanya wote wajinga?

    Kafisadi hakute hata UN kalifukuzwa kwa kamkono karefu...watu wanafanyakazi wanafia UN kenyewe kabinti kabisa eti kamesepa nooooooo
  3. K

    JamiiForums Tanzania Jux, Kuishi na kusoma China lakini bado mshamba hivyo?

    Ndio tabia ya watanzania kushikilia na kupigia kampeni maswala ya kipuuzi...mnaacha kuweka maandamano mmeibiwa mabilioni mnaanzisha vitu vya kipumbavu nakushukuru uloweka hii post maana nilichukizwa saana na wale waliopost matusi na hasa DJ CHOKA NA OMMY DIMPOZ HAWANAAKILI
  4. K

    JamiiForums Tanzania Madhara ya ESCROW hatari sana

    Hili shamba la bibi...bora iwe hivihivi ukipata chance we butua tu wabongo wavivu sana wakiishi kama libya ile ya gadafi watataka hata wakienda chooni wachambishwe....wacheni wenye akili wapige hela...imeandikwa kila mtu na fungu lake na "Kila mtu atakula kwa jasho lake.."
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wizkid aitakia happy Independence day Tanzania

    Mbona kawaida tu hiyo sasa hivi kina jay z nao wataanza tanzania ikikua siyo kick hiyo think positive bwashee..
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mwanza kampeni za CCM hadi usiku wa manane? Ni hatari

    Hao CCM wasiwe kama mugabe sasa watuongoze tangu uhuru aaaaa tunashkuru kwa mema yote waliyo tufanyia tukipe nafasi chama kingine chochote sasa....
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaosafiri sijui huu ni ushamba?

    Umepigiwa wewe??au umekopwa vocha hufai kuwa officer loan board tgo au voda wewe
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Eliza, Binti mrembo anayesambaza VVU kwa makusudi

    Ingefaa kama angepata na maadili yangu nifanyie namba yake basi mkuu
  9. K

    JamiiForums Tanzania Revealing: Hawa ni baadhi ya wanufaika wa Escrow kupitia kwa Rugemalira (Clue 2)

    Mkae mkijua lakini nduguzanguni kujiandikisha kwaajili ya chaguzi ndogo kumeanza so kuyaepuka haya yote tujiandikishe ili tuchague kiongozi alie bora kwa maendeleo yetu
  10. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA(UKAWA) kupitia kura za MAONI WAMETISHA

    Hilisuala wana jf tusiishie kulizungumzia tu kwenye hii wall bali tuwe mstari wambele kwenye kuwafahamisha wananchi hasa vijijini kwetu kuwa tatizo la uongozi mbovu ni kupiga au kutopiga kura zetu kwenye uchaguzi mkuu.....
Back
Top Bottom