Kwa wanaosafiri sijui huu ni ushamba?

Kwa wanaosafiri sijui huu ni ushamba?

watu mnakerwa na vingi...hadi watu wakiwasiliana wengine mnakereka!!!!!
 
Mbona hiyo ni kawaida tu, utakuta anayefanya hivyo anakoenda sio mwenyeji.
 
But mind you in the same coach we had some other nationalities, wajerumani wawili, wajapani wanne na mfaransa mmoja but I could not hear any of them shouting over their cellphones although they are richer than these poor swahilis.
Kwahiyo wenye hela zaidi ndo wenye haki ya ku"shout over their cellphones" ??!!

Usiwe unapanda mabus na waswahili maskini bwana, panda ndege (hamna kuongea na simu angani), kodisha gari usafiri mwenye au endesha mwenyewe kabisa ili hata dereva asikuboe kwakutafuna kwa nguvu au kusikiliza redio usoyotaka wewe.
 
Next time kakae kwenye buti,maana kesho utaleta thread wanaokula vizuri safarini wanakukera!
 
Kama una wakumjulisha lala tu,maana unaweza ukasafir toka mwanza mpk shinyanga ujapigiwa c bora uzime simu yako tu
 
Muache ushamba jamani,ndio maana kuna mambo unaweza fanya kwa mazoea,Au kutofikiri ukajikuta una matatizo.mfano ujinga wa kutupa taka hovyo kuna mikoa ukitupa tu,inakula kwako.

Kwenye gari sio sehemu ambayo unaweza fanya chochote tu sababu una uhuru,hamna sheria ya kukubana but we ni mtu mwenye akili,

Kuongea na simu kwenye umati ni kero kwa watu,achilia kuongea mara kwa mara.kama ishu ni ugeni unakofikia sms ziko kwa ajir yako.au hujui kusoma?,ongea kistaarabu basi.

Kula kula hovyo,dar 2 mor-mtu anaingia garini na machipsi,mara njiani unanunua muhindi wa kuchoma,majuice,haichukui muda,konda nataka kuchimba dawa.sjui hujawahi kukaa masaa manne hujala!!?

La hasha,huu si uungwana.
 
Tumieni usafiri wa angani jamani, no kero!! Fast jet ipo kila siku na inakwenda sehemu nyingi.
 
all germans,french and japanese are rich!!!!
You have to know this, people have their own style of living, culture and ettiquette. When it comes to these things no one is superior over the other. Some people can talk while eating but for others it is not acceptable.
If someone is talking over his/her phone i think there is no problem with that. However shouting is not acceptable as its will disturb other passengers.
LAbda tuwaambie watanzania wenzetu wazungumze kwa sauti ya chini na ya kawaida badala ya kupayuka. Asante kwa tafakuri

SIZE]

But mind you in the same coach we had some other nationalities, wajerumani wawili, wajapani wanne na mfaransa mmoja but I could not hear any of them shouting over their cellphones although they are richer than these poor swahilis.
 
all germans,french and japanese are rich!!!!
You have to know this, people have their own style of living, culture and ettiquette. When it comes to these things no one is superior over the other. Some people can talk while eating but for others it is not acceptable.
If someone is talking over his/her phone i think there is no problem with that. However shouting is not acceptable as its will disturb other passengers.
LAbda tuwaambie watanzania wenzetu wazungumze kwa sauti ya chini na ya kawaida badala ya kupayuka. Asante kwa tafakuri

SIZE]

Thank you so much, kumbe kupiga simu is ok lakini kupayuka mpaka basi zima wanakusubiri umalize ndipo waendelee na mazungumzo yao ndio tatizo, so please talk softly and in low tone so as to avoid disturbing other passengers, na simu za kisasa hazihitaji sauti ya juu sana ili usikike upande wa pili.
 
Wewe ndio mshamba??? Tabia ya kushangaa na mambo yasiokuhusu ni ushamba

I know you've been offended with this thread as long as you are a culprit but bare in mind that it doesn't poke you straight away.
 
Si unalala kama anakukera kwan vocha yako

Suala hapa sio vocha wala gharama suala ni ku-avoid noise pollution, gharama hakuna coz kifurushi cha sh. say 5000/- tu! unaweza ongea mpaka koo likauke.
 
I know you've been offended with this thread as long as you are a culprit but bare in mind that it doesn't poke you straight away.

Offended how??? with this bullshit!! ooh please!
 
Back
Top Bottom