Kwani kwenye taarifa za kimataifa watasema yanga of manji au yanga from Tanzania?? Yanga ndio iliojitahidi kwa kuywa bingwa na wana stahili kuiwakilisha taifa..kama wamepewa nafasi hyo kwanini tusiungane kuiombea mema..
kila mtu Ana mtazamo wake..kwangu mm naweka utaifa kwanza hata kama ni mpenzi wa simba..yanga naitakia kila la kheri ipeperushe bendera ya taifa vema..
bet365 - Sports Betting, Europa League Football Odds and Test Match Cricket Prices, Casino, Poker, Games, Bingo
hapo itatusaidia kidogo kupata quick updates za match
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.