Recent content by kidanya

  1. K

    JamiiForums Tanzania Madiwani wa CHADEMA washuhudia walivyohongwa hela na CCM ili wahame

    Chadema kuna njaa wala sio jambo la kuficha Sent from my G7 using JamiiForums mobile app
  2. K

    JamiiForums Tanzania Je, Ni kweli Interview ya Human Capital Co. LTD wanachaji pesa?

    Nimeitwa kwenye interview itakayoendeshwa na Human Capital Co LTD, wanahitaji 12,000 kwa ajili ya kuendesha interview of which is non refundable.Kwa mtu anayewajua tafadhali nisaidie isije ikawa ni matapeli wanatafuta hela.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa.

    Shamba la ekari 10 lenye minazi, miembe na michungwa maeneo ya pwani barabara ya kibada kigamboni - Mwasonga, ni Tshs 50mil.... Lina rutuba. Kwa maelezo zaidi piga 0622000277 au 0683000177. Karibuni.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Huu ndio utajiri mkubwa utakaoupata kama utaamua kufanya biashara hii

    Huu mchezooo hauhitaji hasira
  5. K

    JamiiForums Tanzania Huu ndio utajiri mkubwa utakaoupata kama utaamua kufanya biashara hii

    Tatizo wanaoandika haya sijui kwanini wao hawawi mabilionea wa kwanza....
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Precision yapata hitilafu na injini kushika moto

    Aise ulikuwa unamfahamu captain Moses Materu????
  7. K

    JamiiForums Tanzania Shoga maarufu mjini Dar apania kumpokonya Jux kutoka kwa Vanessa Mdee

    Kumbe ulikaona jana hapo Morocco basi tulikuwa wote...... Yani hakajitambui kabisa,, maskini kamebeba kamfuko kake ka oriflame....
  8. K

    JamiiForums Tanzania Shoga maarufu mjini Dar apania kumpokonya Jux kutoka kwa Vanessa Mdee

    Leo nimekaona haka kashoga kachafu hakana mbele wala nyuma tukapanda nacho mwendo kasi
  9. K

    JamiiForums Tanzania Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

    Yani alisugua g sport mpaka anakojoa.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wa kufanya biashara gani

    Habari zenu, Naombeni msaada wa wazo la kibiashara gani ya kufanya ambayo itanisaidia kukuza mtaji wa mil 3 nilizopewa na ndugu zangu baada ya kuona nimekaa muda mrefu bila mafanikio ya kupata ajira. Toka nipewe hizo hela sijala hata kumi bado napasua kichwa kuwaza nifanye biashara gani.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete akijadili namna ya kuboresha elimu ya dunia

    Akichukua Vita vya tatu vya dunia tutegemee. Bila kumuonea the guy is weak
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    Sense kufanya nini??? Wakati mlimnyima kura( kula)..... Nothing goes for free
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hongera Godbless J. Lema kwa kukabidhi gari la wagonjwa

    Na watabaki kuwa wapinzani maana ccm ni mauzauza tu. Wakawadanganye wagogo sisi hatuwahitaji.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wadada wanapendelea zaidi marashi ya kiume kwa sababu huwa yananukia vizuri

    Mpenzi huwa na share nae perfume na lotion vaseline sport for men,,, huwa anapenda sana anapopishana na mtu njiani kajipulizia perfume yangu huwa anapata shida sana... Hata Dada yangu huwa anahisi nipo around akinusa perfume ninayo tumia.
Back
Top Bottom