Recent content by KIDAFURI

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haikuwa rahisi moyo uliniuma mno hatimaye nikaishia njiani, nikamuacha aende lakini leo...

    Mkasa wa Ibra wa pili ni funzo kwa wanadanu wote haya mambo hayana manju wala kungwi wasichana wabichi hawajui yupo mkweli yupi muongo hawatambui muungwana wala baradhuli ufahamu wao umefungwa kama atazamaye negative ya picha gizani kila mwananke na mwanaume waliokomaa watakiwa wawafunde na...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mtaa wa kwa Kindande Temeke visa vyake

    daaah kwa kindande kiboko wapiga debe wa mtoni mtongani wanatokea huko, kweli panatisha
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maamuzi magumu: Mume wangu hanijali kwa chochote, nataka kuachana naye

    wanawake wana magumu wanayopitia daaaaah we dada tulia kwa mumeo,kwanza wazazi wake wamemsomesha kwa shida ngoja angalau awawekee wazazi wake hata kaumeme ka REA .yaani ukiolewa na mume msomi au mwenye mafanikio chunguza kwanza familia yao halafu uchukue maamuzi,sasa aache kuweka mazingira...
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Weekend story! BEN 10

    Week end started on Tuesday story teller disappear then what?Ben10 perished?
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Weekend story! BEN 10

    Haya weekend hiyoooo patam hapo Lar1 tusambazie raha
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Weekend story! BEN 10

    Leo alhamis Lara1 unatukula kiboga duuuu saa7 imekuwa mfungate tuone huruma watoto wa mwanamke mwenzio
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Weekend story! BEN 10

    Nataka nimfahamu banker msambwanda single mother Mchumba wa mlokole mwanasheria
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Weekend story! BEN 10

    daaaah KR kafanya surgery ya uso kawa mzungu piwa anamtrack KYLE bila yeye kujua ni kwavile anamupenda sana, sasa Hans ameachiwa mtoto si atamvutisha mibangE LINDA kyle anataka wapeane zamu ya kulea mtoto, huko masomoni subiri aanze kuisoma namba maana Ghost lazima amwage kwa ungese wake
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Weekend story! BEN 10

    Kyle hana bahati
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Weekend story! BEN 10

    Duuuu wewe Lara1 mlokole kapewa mke anaejiweza meneja was bank na pledge ya 1 Bil! Sasa ngoja tutaona mbeleni ikiwa single mother atatoa hiyo pesa Tuletee Sam tuone alipokimbilia alooo
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mvulana amnyonya chuchu msichana kanisani..

    Daaah vichekesho hivi balaa
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake walevi huchepuka kwenye mahusiano

    muongo kama nini vile?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ni marufuku kuimba wimbo wa Taifa bila kibali maalumu cha Wizara ya Mambo ya Ndani

    daaaaaaah balaaaaaaaaaa
Back
Top Bottom