KHahaaa, baba wa siasa? Nyie mmeiga vingapi kutoka ccm? Mmebeba hadi visivyobebwa, hakuna jipya kusema eti cdm ndo waanzilishi wa kufukuza wanachama, bali kila chama kina kanuni na taratibu zake usipozifata lazima adhabu ikukute, kaangalie katiba yao uone adhabu za kukosa maadili na usaliti,