Recent content by kichwakili

  1. K

    Naomba ujuzi Kilimo cha mihogo na viazi vitamu

    Habari wakulima wenzangu, mimi ni mgeni katika sekta hii ya kilimo ila kwa sasa nataka kujikita kwenye kilimo cha mihogo na viazi vitamu nina shamba la heka mbili shamba lipo lugwadu lakini sijui pa kuanzia kwa maana kwamba sina ujuzi na kilimo. Naomba kujuzwa namna ya kuandaa shamba ni...
  2. K

    Mume kamganda mchepuko miaka takriban 5

    Habari ndugu zangu Nina rafiki yangu kama Pete na kidole, huyu rafiki yangu amekuwa akiniomba ushauru maranyingi sana kuhusu nda yake mume wa huyu rafiki ajatulia hata kidogo kuna kipindi alikua anabadilisha michepuko lakini ikafikia kipindi akaganda kwa huyo mchepuko huu mwaka wa tano yuko na...
  3. K

    Nina mtaji wa Tsh. 2,000,000 nataka kufungua biashara ya nywele bandia

    Habari ndugu zangu nina mtaji wa milion mbili nataka kufungua biashara ya nywele bandia nikimaanisha wiving, rasta, mawigi na vitu vidogo vidogo vya urembo wa akina dada kama mikufu, hereni, bangili nk. Naomba mwenye uzoefu na hii biashara anisaidie kunifahamisha changamoto na faida ya hii...
  4. K

    Biashara ya kupeleka Malawi

    Wakuu, Mwenye uzoefu wa biashara ya nguo na vitu mbalimbali kutoka huku Tanzania kwenda kuuza Malawi naomba aliyewahi kufanya biashara nchini Malawi anipe uzoefu
  5. K

    Biashara ya kuuza vitafunwa

    Wakuu naomba kujua biashara ya vitafunwa kama inalipa. Nina mtaji wa sh 300,000/= je, naweza kufanya biashara hii kwa mtaji huo, namaanisha vitafunwa kama maandazi, sambusa, chapati, eggchop, kababu nk: vitafunwa hivyo vikiambatana na juice, soda na maziwa. Kwa aliyewahi kufanya biashara hii...
  6. K

    Duka linauzwa

    Ili duka bado lipo??, Nielekeze lilipo nije tuongee biashara
  7. K

    TV4Sale Inch 24,25 flat screen tv inahitajika

    Ninayk ongezea ela tufanye biashara ninayo aina ya sansung let's 180000, nitafute kwa 0657466030
  8. K

    Kutana na dalali wa nyumba Dar es Salaam

    Napatikana kwa naomba 0657466030
  9. K

    Kutana na dalali wa nyumba Dar es Salaam

    Nauza nyumbani IPO yombo, vyumba 3 kimoja master jiko, dining na sebula chop chat ndani na nje nyumba Ina fensi na kwa nje kuna vyumba viwili
  10. K

    Shule english medium kigamboni

    Habari wana jamii forums, naomba mwenye shule nzuri za primary za english medium maeneo ya kigamboni naomba mnijulishe kwani ivi karibuni ntahamia huko kwa sasa naishi mtongani naombeni na maelekezo jinsi ya kufika, asanteni
  11. K

    Mjomba wangu kawa kichaa baada ya kufilisiwa. Je, tiba yake ni nini?

    Samahani naomba maelekezo zaidi kuhusu iyo hospitali ya lutindi, nina ndugu yangu ana matatizo ya akili yeye alikua anatumia sana bange hatimaye amerukwa na akili Naomba unipe mwongozo gharama zake na anatakiwa kukaa kwa muda gani ili awae sawa Naomba pia kama una namba ya muhusika yeyote wa...
  12. K

    Kosa linalopuuzwa na Rais

    Usituletee mambo yako ya kizamani apa kula kona uko muhenga mkubwa wewe
Back
Top Bottom