Recent content by kichwa100

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli na ushahidi upo....

    Acha uongo kesi za jinai unazijua au akili imekaa kiumbeambea tu bila weledi? Wewe umejeruhiwa utamsubiria Dpp au DCI wakushitakie? Tuache umbea na majungu tupige kazi. Km unao ushahidi peleka Police au mahakamani sio majungu mitandaoni. Inawezekanaje yupo mtu ananufaika kwa impersonation huku...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wasamaria tulifanya makosa kuchangia wahanga wa tetemeko Kagera?

    Waliotaka wapewe mnaoutaka km wengine
  3. K

    JamiiForums Tanzania Bei ya mvinyo dukani kwetu

    Km kweli ni cheapest prices labda km huvijui
  4. K

    JamiiForums Tanzania NIDA: Madudu Cheti kimoja watumishi zaidi 3, Watumishi watumia majina ya marehemu

    Uhakiki uendelee lkn mwisho wa siku watakao kuwa wamegongana waitwe waende kufanya verification sio usitishwaji wa zoezi lote. Kitaeleweka zoezi lipo sawasawa saaaana
  5. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Patrice Lumumba: Magufuli is on the line of fire and can be eliminated

    Lugumi sio kashifa tatizo kupambana na watu au chuki binafsi ndio kiiini
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuomba hifadhi ya ukimbizi na sirudi tena bongo

    Ndio wale wale wakuikimbia familia ukifikiri ni AKILI au Busara kumbe ni kujilisha upupu km sio ujinga tu
  7. K

    JamiiForums Tanzania Daaah..Polisi nyie muwe na huruma kidogo,hali ngumu jamani.

    Ukiona hiyo notification inatia shaka pakazia umepewa fake ili ifuatiliwe
  8. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa aenda Kagera kuwajulia hali waathirika wa tetemeko!

    Unamjua au kumfahamu kweli?
  9. K

    JamiiForums Tanzania KUTOKA VIKINDU: Polisi wapambana na majambazi, askari mmoja adaiwa kuuawa

    Ulitakiwa uoneshwe maiti au ndio ujinga wa WaTz kusikia mlipuko wanakimbiliako?
  10. K

    JamiiForums Tanzania CCM kuanzisha TV na redio zao

    Huwa inanisikitisha WaTz tynapojifanya Mabingwa wa History wakati hata waliotuletea ujuvi huo wazungu hawaangalii history bali uwezo na kipaji husika. Ndio maana hata umaarufu wa neno la WHITE HOUSE enzi za weusi kuwepo humu ulipungua kimatumizi lkn kazi iliendelea
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mrema: Nilifanya biashara yenye faida na Magufuli

    Uuuuuuups mbona iliwekwa wazi kuwa walialikwa
  12. K

    JamiiForums Tanzania Looking for gentleman

    Uuuuuuups
  13. K

    JamiiForums Tanzania Utumiaji vibaya wa silaa za Moto kwa Vijana wa Arusha jeshi la polisi Mnajua Hilo

    Mpaka kupatikana kwenye kamera kwa namna hii umejiuliza kwanza?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Michezo ya wanasiasa wetu na hatma ya Taifa letu

    Uelewa mdogo sana wa WaTz. Kwani ushindi unaopatikana hapa kwetu huko mnako refer km wakomavu haupstikani?
Back
Top Bottom