CCM kuanzisha TV na redio zao

CCM kuanzisha TV na redio zao

Tv hazitusaidii wananchi, bali genge la watu fulani tu. Siungi mkono hoja
 
Wana kila sbb ya kuongeza nguvu... kama wamepata 58% na wapinzani karibu 40% na resources zote walizo nazo, lazima waogope na kujipanga kimkakati zaid....
 
Mnafki huyo yeye alikuwa wapi na alishaonyesha juhudi na nia gani kujua kuwa chama hakina media...
 
Huu mchama hauishiwi vituko,yaani umaskini woote waliotusababishia bado mawazo yao hayabadiliki tu
 
Huwa inanisikitisha WaTz tynapojifanya Mabingwa wa History wakati hata waliotuletea ujuvi huo wazungu hawaangalii history bali uwezo na kipaji husika. Ndio maana hata umaarufu wa neno la WHITE HOUSE enzi za weusi kuwepo humu ulipungua kimatumizi lkn kazi iliendelea
 
Nani kakuloga kwa hiyo xtata

Ujui Uhuru FM,TBC FM na TV ni mali ya chama?

Ikumbukwe tanzania ni ya chama kimoja nacho kijulikanacho km CHAMA CHA MATATIZO ''CCM""
 
Hatima yake kuendelea na malalamiko tu mpaka miaka 10 ipite
 
watalusha nini cha maana zaidi ya kumsikia sendeka kila wakati akiongea rubbish
 
Back
Top Bottom