Recent content by Kichwa Ngumu

  1. Kichwa Ngumu

    Jinsi ya kubadilisha radio ya gari toka kutumia CD kwenda FM radio

    Nilikuwa natumia FM radio nikaweka CD sasa nataka kurudi kwenye FM radio inagoma. Wakati natumia FM radio screen touch Ilikuwa inafanya kazi ila kwenye CD screen touch haifanyi kazi Naomba msaada
  2. Kichwa Ngumu

    Kabla hatujaharibikiwa tutizame upya mfumo wa uchaguzi

    Mfumo wa uchaguzi huu hauna tofauti na mifumo iliyopita. Ila kuna mabadiliko tu ya wasimamizi wa mifumo, kama awali haukuleta madhara kama haya basi kwa kuwa wasimamizi ni wapya basi wamekuja na mambo mapya.
  3. Kichwa Ngumu

    Sijavutiwa na muonekano wake ila anataka kunioa

    Mtafute mwenye muonekano mzuri mtongoze alafu umuoe. Tatizo wenye muonekano mzuri hawana hela wala mali pia sio waoaji cha mwisho na chamsingi hawavutiwi na wako ndio maana hawajakutongoza
  4. Kichwa Ngumu

    Nimekutana na mchepuko wa mume wangu

    Umeshindwa kumbadilisha mmeo unataka sisi. Ndio asili yetu hata tujichubue vip asili yetu ni weusi
  5. Kichwa Ngumu

    Hot-spot Wi-Fi inajizima baada ya sekunde 2

    Nimebadilisha lkn wapi Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Kichwa Ngumu

    Hot-spot Wi-Fi inajizima baada ya sekunde 2

    Nimebadilisha lkn wapi Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Kichwa Ngumu

    Hot-spot Wi-Fi inajizima baada ya sekunde 2

    W5 lite Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Kichwa Ngumu

    Hot-spot Wi-Fi inajizima baada ya sekunde 2

    Habari simu yangu aina ya Techno W5 nikiwasha hot-spot Wi-Fi inajizima baada ya sekunde 2. Kabla nilikuwa natumia vizuri tu. Naomba msaada wenu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Kichwa Ngumu

    Maumivu ya moyo....!!!

    Kama financial mpo poa ujue sexually upo poor
Back
Top Bottom