Recent content by kichwa kikubwa

 1. kichwa kikubwa

  Vodacom yaongoza kwa kutoza gharama kubwa za intaneti kwa wateja

  Vodacom ni mebeberu waliokubuhu. Sent using Jamii Forums mobile app
 2. kichwa kikubwa

  Tiketi zote za mabasi kukatwa kielektroniki kuanzia mwezi ujao

  Safi sana. Wapiga debe wakatafute kazi zingine kwa kuwa ni wasumbufu sana. Sent using Jamii Forums mobile app
 3. kichwa kikubwa

  Shule inawezaje kupata matokeo kama haya?

  Kwanza nikuulize zamani ni kuanzia miaka ipi? Pili, si kweli walikuwa hawasomi (Labda kama maana ya "kusoma" ndiyo siielewi), lakini mazingira ya usomaji ya sasa ni tofauti na ya zamani. Sent using Jamii Forums mobile app
 4. kichwa kikubwa

  Ukisoma Asia unarudi Bongo na stress tu

  Wanakuwa magaidi. Sent using Jamii Forums mobile app
 5. kichwa kikubwa

  Shule za Kiislam zinatia aibu kitaaluma, BAKWATA mnastahili kulaumiwa

  Kumbe unahitaji kuchambwa na si kuelimishwa? Ndiyo Elimu yako hiyo, siyo? Sawa mzee wa kulazimisha kueleweka hata kama hueleweki. Ngoja ni sign out isije ikawa nabishana na chizi flani. Sent using Jamii Forums mobile app
 6. kichwa kikubwa

  Shule za Kiislam zinatia aibu kitaaluma, BAKWATA mnastahili kulaumiwa

  Siwezi kukuelewa sababu hujafikia viwango vya kueleweka. Nitakuelewaje mtu usiyejuwa kuandika vizuri. Hiyo ndo elimu ya madrasa? Kajifunze kwanza mwandiko kisha urudi hapa jukwaani ili nije nikuelewe vizuri. Alright? Sent using Jamii Forums mobile app
 7. kichwa kikubwa

  Shule za Kiislam zinatia aibu kitaaluma, BAKWATA mnastahili kulaumiwa

  Sijakuelewa hata kidogo kwa kuwa mwandiko wako mbaya. Pia, unapindisha mada iliyo mezani baada ya kukosa majibu mujarabu ktk kile kinachojadiliwa. Hii ni tabia ya mtu na si mfumo. Sent using Jamii Forums mobile app
 8. kichwa kikubwa

  Shule za Kiislam zinatia aibu kitaaluma, BAKWATA mnastahili kulaumiwa

  We umebaki kubwabwaja tu, huna unalolielewa zaidi ya kutafuta huruma ktk changamoto mlizonazo. Mnaambiwa ukweli we unabishia ukweli, badala ya kufanyia utafiti wa changamoto zinazowakabili ktk kupiga hatua zaidi kielimu, wewe na washirika wako mnakuwa kinyume chake kwa kusema taifa ndiyo...
 9. kichwa kikubwa

  Shule za Kiislam zinatia aibu kitaaluma, BAKWATA mnastahili kulaumiwa

  Mtu mmoja majibu mawili tofauti. Ni kama vile unachokielewa na unachokiamini ni vya kubahatisha. Sent using Jamii Forums mobile app
 10. kichwa kikubwa

  Baraza la Congress la Marekani laiandikia Ikulu ya Tanzania kuwa hawatasita kuichukulia hatua Tanzania kwa yanayoendelea nchini

  Hata mie namini barua hiyo imechongwa na wabongo hapa hapa TZ. Sent using Jamii Forums mobile app
 11. kichwa kikubwa

  Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

  Soma hiyo mzee. Japokuwa bado siamini sana. Sent using Jamii Forums mobile app
 12. kichwa kikubwa

  Iran Inachekesha sana /hatuiwezi USA tutamshtaki kimataifa

  . Sent using Jamii Forums mobile app
 13. kichwa kikubwa

  ACT Wazalendo iko tayari kuwaongoza Watanzania katika zama mpya

  Au dikteta kama Magufuli. Sent using Jamii Forums mobile app
Top