Recent content by kichuminyi

  1. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Nimefiwa na baba yangu mzazi

    Pole sana kwa msiba
  2. K

    JamiiForums Tanzania Umati wa watu waliosongamana katika mazishi ya Maalim Seif wakiwa hawajavaa barakoa

    Ila watu hawa wameenda wenyewe, hawajapelekwa na magari, sijaona wanafunzi, hilo ndilo nililowapendea
  3. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye afariki dunia baada ya kupata ajali ya gari Februari 10

    Umeona mbali,taarifa za ajali ya Mbunge hata hazikutolewa, Inawezekana kweli?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Msaada mtoto kaanguka kwenye tiles (Marumaru) naomba kujuzwa huduma ya kwanza

    Kwa hiyo kama amedhurika atapona kwa hicho kilio anacholia mama yake? Kama mnahisi kunatatizo kwa nini msimpeleke hospital kujiridhisha? Yaani lisaa lizima, mtoto kilio na mama kilio.
  5. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Umeme umekatika toka jana saa nne maeneo ya mtoni kwa aziz ally, lakini ulirudi saa moja usiku lakini baadhi ya maeneo huku nyuma ya sabasaba haujarudi hadi sasa. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. K

    JamiiForums Tanzania Chemsha bongo kidogo hapa

    25 Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    [ b ]hivi
  8. K

    JamiiForums Tanzania Swali: Kwanini wananchi tusichangie michango kwenye shughuli za kimaendeleo?

    Kwani kodi wanazotoa wananchi si kwa ajili ya maendeleo ya nchi?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugola: Diamond hana nidhamu aliwahi kuchelewa jukwaani

    Mambo yake na umri wala haviendani
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mvua, Dar: Watu 9 Wafariki, Mabasi ya mwendokasi yamesitisha huduma

    Bora tu unyamaze maana hujui hata ni nani aliyekuwa waziri wakati huo na ninani sasa hivi. Na kama alikuwa mhandisi au la. Hivi shule inapofanya vibaya mwl mkuu akiwajibishwa anaweza jitetea kuwa sio mimi ninayewafundisha?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa saikolojia: Nikitania nampiga mke wangu mtoto analia

    Yeye ni binadamu ni roho iliyohai, anahisia, anafurahi, anasikia uchungu pia haya yote hata akiwa tumboni huwa anahisia.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kihoro kingine chaja, just get prepared!!

    Au ndio hicho cha mh Diwani?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Chamazi Mbagala kuna shida gani kuhusu nyumba?

    Hao ni jenga uza, viwanja vinapatikana kwa bei rahisi na mchanga hukohuko kuna machimbo. Walionafursa wanajenga na kuuza, ni biashara tu.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi dhidi ya watu wa kaskazini kunaweza kugawa nchi vipande viwili.

    Mmmm ndio geography ya siku hizi, Mi nilifundishwa Kagera, Mwanza ni kanda ya Ziwa. Arusha, Kilimanjaro na Tanga ndio mikoa ya Kaskazini.
Back
Top Bottom