ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,013
Kuna ndugu yangu kaona tangazo la nyumba inauzwa milioni 30 anataka anunue lakini nimemuasa afatailie kwa makini maana haifananii na bei hiyo hata kama wamesema muuzaji ana matatizo and needs money ASAP
Ila mbona siku hizi asilimia 80 ya nyumba zinazouzwa zipo chamanzi,kunani huko? au kuna msala wa bomoabomoa upo njiani watu wanasukumizia wenzao future frustrations?
Ila mbona siku hizi asilimia 80 ya nyumba zinazouzwa zipo chamanzi,kunani huko? au kuna msala wa bomoabomoa upo njiani watu wanasukumizia wenzao future frustrations?