Recent content by KICHI

  1. K

    JamiiForums Hamisi Kigwangalla ni-tayari kwa mdahalo na mtu yeyote yule!

    hili wanalosema wewe ni mrundi lina ukweli kiasi gani?
  2. K

    JamiiForums Pamoja na uzuri wake, Maumbile ya mpenzi wangu yananichosha mwili na roho!

    hiyo inaitwa tai kwenye k na ina matumizi yake,inaelekea wewe bado mchanga kwenye game,hujui kuchambua kitabu wewe?
  3. K

    JamiiForums Je, Mke wangu kanisaliti? Nini nifanye? Je kuna haja kumwamini tena?

    wewe ni kama zuzu fulani hivi
  4. K

    JamiiForums Nisaidieni jaman mke wangu ataniua

    Watu wengine bwana raha ya mke ndo hiyo,ningempta huyo ningefurahi sana,siku 30 bila kupumzika mbona ingekuwa raha?
  5. K

    JamiiForums Nampenda sana lakini nahc ananipotezea muda

    ajabu na kweli unampendaje mtu ambaye hujawahi kumuona?acheni ulimbukeni kwenye mitandao,hivi inatosha kumwamini mtu anayekuambia anakupenda kupitia mitandao?ulichopanda utavuna hicho hicho..kalaghabao...............
  6. K

    JamiiForums Mke wa mtu ukiamua kutembea nje ya ndoa.....do's and don'ts

    wafundishe wake za watu wasitoke nje ya ndoa ingekuwa vyema sana
  7. K

    JamiiForums Je ni busara kwa mpenzi wako kukwambia pindi atongozwapo? Utachukua hatua gani?

    Ni muhimu aseme hasa kwa wale wenye kuishi mazingira ya kufanana kama kazini au mtaa mmoja,mwanamke asipokuambia ujue atamtafutia nafasi kummegea huyo jamaa.wanawake wana roho mbili.
  8. K

    JamiiForums kwa wanaume upendo ni nini?

    Upendo unatengenezwa hauji kama mvua,tatizo la sasa kila mtu anaigiza kupenda,siyo mwanaume ama mwanamke,demu ana mind RAV4 ya mshikaji na mshikaji anamind mzigo wa demu alivyofunga teller,sasa hapo upendo upo wapi?
  9. K

    JamiiForums napenda wengi

    hujawahi kupenda wewe dogo,umalaya tu umekuzidi.
  10. K

    JamiiForums Meya Masaburi avunja Bodi ya DDC; Inaongozwa na Zungu

    tunaliwa hapo ddc upande supu na nyama choma,yupo jamaa anaitwa ARISEN MMASSY,analipa laki mbili kwa siku,je jiji linapewa ngapi?
  11. K

    JamiiForums Tulichambue Baraza la mawaziri la JK... Hili hapa toa maoni....

    waziri pekee ni John Pombe Magufuli
  12. K

    JamiiForums Masha Kiboko!

    mnajidanganya Masha ni jambazi lenye leseni.
  13. K

    JamiiForums Kumbe Jairo hakuanza mwaka 2010/2011

    rais ndiye aliyemuagiza jairo asanye fedhWA
  14. K

    JamiiForums BUNGE lathibitisha kujiuzulu kwa Rostam

    Rais mcheza ngoma duh!
  15. K

    JamiiForums BUNGE lathibitisha kujiuzulu kwa Rostam

    Rais mcheza ngoma duh!
Back
Top Bottom