Recent content by Kicheba One

  1. K

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa special thread

    jiandaeni ccm kuondoka kumkata anaekubalika sasa ukawa kazi kwenu kura zetu zote kwa ukawa tena huyo magufuli ndio kwa herii
  2. K

    JamiiForums Tanzania Eliud Tongora kuipeleka CHADEMA Mahakamani

    mpuuzi tu
  3. K

    JamiiForums Tanzania Moto wa ACT-Wazalendo kama umepungua vile

    Mwl kaijage amepata ajira yake juzi ktk ajira mpya za walimu amepangiwa vijiji vilipo mpakani mwa tz na burundi network hakuna za kutuma mambo ya act lakini pi a anajiondoa act taratibu baada ya kugundua usanii wa zzk anapiga pesa wao wanakula uji na mchicha tuu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Amsha amsha ya UKAWA nchi nzima kuanza Jumatano 12/05/15

    Ally bananga alikuwa muheza kujenga cdm 08/5/15 muheza ni tanga
  5. K

    JamiiForums Tanzania Amsha amsha ya UKAWA nchi nzima kuanza Jumatano 12/05/15

    prof safari alikuwa tanga 20/4/15 akijenga cdm
  6. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mziki mnene

    اصصىزششرر
  7. K

    JamiiForums Tanzania Amsha amsha ya UKAWA nchi nzima kuanza Jumatano 12/05/15

    Lema na kafulila,heche na silinde
  8. K

    JamiiForums Tanzania Amsha amsha ya UKAWA nchi nzima kuanza Jumatano 12/05/15

    Huku mbatia na nassari,kule mdee na machali,prof lipumba nanyika ,prof j na wenje
  9. K

    JamiiForums Tanzania Amsha amsha ya UKAWA nchi nzima kuanza Jumatano 12/05/15

    Kuna taarifa muhimu ambazo punde zitatoka viongozi wakuu wa ukawa watapita mikoa 18 kwenye opareshi okoa tanzania mgawanyo wa timu kabambe na vikosi maalum vya majembe ya ukawa vitapita ardhini na angani kushambulia wilaya kwa wilaya na kata kwa kata lengo kuhasisha wananchi kujiandikisha...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa wafanyabiashara Muheza wafanikiwa 100% leo

    kuanzia asubuhi leo wafanyabiashara hapa muheza wamefunga maduka yao ktk hostoria ya muheza mpaka wahindi leo wamefunga maduka kupinga upandishwaji wa leseni za maduka kwa 100% Hii leo muheza uhaba wa bidhaa zamadukani mpaka usiku hazikupatikana chakushangaza gari la polisi limeranda randa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo mwisho wake 30/06/2015

    Wanajamvi, Kila siku zinavyokwenda chama cha ACT kitakufa mapema sana 30/06/2015 na hakitashiriki uchaguzi Mkuu mwaka huu Sababu hizi hapa. 1: Mgogoro wa nani ni ACt halisi kati ya ACT wazalendo ya zitto na ACT Tanzania ya Limburg 2: Kutangaza kuwa lowassa akienguliwa ccm wanamkaribisha...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Zitto: Lowassa akikatwa jina CCM, atangaze mali zake ajiunge ACT-Wazalendo (audio)

    Taaarifa hizi zinasema Nikitendo cha zitto kuwakaribisha wote watakao enguliwa na ccm kura za maoni wajiunge act-wazalendo Hii imewastua sana ccm kwa kauli za hadharani kumkaribisha lowassa na wote inaonesha kuwa act kimeundwa na wenye hofu ya kuenguliwa ccm Hivyo mpango wa ccm...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aanza ziara ya siku 6 Mikoani

    Dr Slaa nae kuanza ziara safi sana
  14. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Mengi Ashtushwa na taarifa za kuiangusha serikali ya Kikwete

    Mwenyekiti wa Ippmedia ametaka serikali kutolea taarifa juu ya shutma alizo pewa mengi kutaka kuiyangusha serikali yake Kwa mujibu wa gazeti Moja lilimnikuu zitto kabwa akimshtaki mengi kwa kikwete
Back
Top Bottom