Mgomo wa wafanyabiashara Muheza wafanikiwa 100% leo

Mgomo wa wafanyabiashara Muheza wafanikiwa 100% leo

Kicheba One

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
399
Reaction score
194
kuanzia asubuhi leo wafanyabiashara hapa muheza wamefunga maduka yao ktk hostoria ya muheza mpaka wahindi leo wamefunga maduka kupinga upandishwaji wa leseni za maduka kwa 100%

Hii leo muheza uhaba wa bidhaa zamadukani mpaka usiku hazikupatikana chakushangaza gari la polisi limeranda randa kwenye mitaa ya muheza mchana kutwa wakiwa na askari wa kutosha

ccm wanakazi mwaka huu wamegombana na kila mtu hapa nchini so wajiandae kuondoka
 
Chukua chako mapema
Wanajiandaa kuondoka hao.
 
Back
Top Bottom