Ni kweli Dk. Augustine Mahiga hafahamiki kwa wananchi wengi, lakini kama tunataka kuirejeshea heshima Tanzania, bora angepewa yeye urais kuliko hawa wengine ambao tutalazimika kutumia sabuni kuwasafisha!
Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kukubaliana na uzushi huu. Japokuwa matumuzi ya fedha kwa wagombea yako wazi, lakini kwanini yule anayeshika nafasi ya kwanza awe wa mwisho? Hii maana yake ni kwamba hao washauri wanaotumika kuandika posts hizi wasidhani kwamba wanamfagilia mgombea wao, bali...
Hii itamsumbua kwasababu anaonekana Msaliti katika chama chake. Na ikumbukwe tayari Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana, Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Abdallah Bulembo wameshatoa kauli kwamba Diwani atakayehujumu uchaguzi atafukuzwa uanachama. Nahisi...
Diwani wa Kata ya Yombo Kilakala (CCM) Elizabeth Magwaja amelalamikiwa na wenyeviti wa matawi katika kata hiyo kwa kile kinachodaiwa kuwa anaunga mkono vyama vya upinzani katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Wenyeviti hao wameandika barua kwa Katibu wa CCM wilaya ya Temeke wakimshutumu Diwani...
Kupeleka watu nje kufanya kazi ilikuwa nia njema kabisa kwasababu Tanzania hakuna ajira tena, na hata hizo ajira ambazo zingefanywa na watanzania wenyewe kama upishi, ulinzi n.k; sasa zinafanywa na wageni.
Hata hivyo, hili la watu kwenda kufanya kazi katika mazingira ya utumwa, ni kashfa kubwa...
KAMA kuna dhambi, ufisadi na utapeli mkubwa umewahi kufanywa na Wakuu wa Shule za Msingi na Sekondari mkoani Dar es Salaam ni ule uliofanywa tarehe 26/4/2014 wakati wa kilele cha Sherehe za miaka 50 ya Muungano.
Taarifa ambazo ninazo zinasema kwamba bajeti kwa ajili ya kuwalipa watoto hao...
Tatizo ni kwamba kwenye mashirika yetu wamejaa watu wa ajabu. Kama mtu aliingia kwenye nafasi yake kwa kuhonga kutokana na uwezo Mdogo, unategemea nini?
Niko hapa. Kinana sasa anaongea, lakini hotuba yake haina mvuto kiasi kwamba wafuasi wa chama hicho wamefurika katika baa ya Kisuma wanakunywa pombe. Hawana habari na mkutano. Kisuma yote ni kijani na manjano
Jamani nimemgundua huyo Kigogo wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) anayekodisha maiti katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya kwenda kufanyia makafara. Hata watumishi wengi pale NSSF Makao Makuu wanamjua. Ni mtu mmoja mpenda sifa sana. Anapenda kuonekana ndiye bosi kuliko...
Mnashangaa maiti kutoka kinyemela muhimbili? Hao waganga "Wapigaji" wote wanapata pesa kupitia Mochwari ya Muhimbili. Wanaulize Dk. Rama, Chifu Kiumbe, Majimarefu na wengineo! Nyie acheni tu.
Kama habari hii ni kweli basi kazi ipo. Hata hivyo suala la ushirikina pale mochwari muhimbili halijaanza kusemwa leo. Watu wamekuwa wakikodisha miili ya watu kwenda kufanyia ulozi. Nahisi kama kuna ukweli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.