Wagombea CCM wamwaga fedha kama njugu

Wagombea CCM wamwaga fedha kama njugu

Tunashukuru kwa kuwa umetambua kuwa ni tamthiliya itaendelea,umefka toleo la ngapi hili? Pia utujuze series ngapi zilizopo.
 
haa haa ila lowasa umempunja sana mkuu. mbona huyu huwalipa wanaodhamini kiasi kikubwa cha pesa pia bodaboda wanaomshangilia hutumia pesa nyingi kuwalipa..

Umeonaee!!. Yaani mtu atumie ndege kwenda kuomba saini halafu awashukuru kwa kuwapatia elfu tano tu. Mbona hesabu za kulinda heshima zinagoma kwa mtindo huu. Mleta uzi una lako si bure na kama si hivyo basi acha kumshushia heshima mzee wa watu.
 
suzan lema

If stories are TRUE, good job and keep it up!
 
Last edited by a moderator:
Wale vijana wanaotafuta ajira ndo mda wao wa kwenda kupiga makelele huu.
Unachomoka zako na mtaji saaaafiiiiiiii....
Unaenda kuanza biashara
 
suzan lema

Ina mana na wewe mpka unaandika uzi huu ushalamba buku 5 as mpambe.
 
Last edited by a moderator:
Bashe na propaganda zake nyepesi anatafuta uhalali wa mgombea wake mtoa Rushwa.Watanzania wa leo ni waelewa sana.

Du na huko CCM ulikokwenda kuganga njaa nako ''umeshalinukisha''? Umeanza kuwananga na kuwatusi viongozi wako kama ulivyofanya Chadema?
 
Hapo kwa LOWASA umempendelea sana. Yule ndiye kinana wa kumwaga mapesa na anatumia usafiri wa ndege.
Nimeipenda hiyo kwenye red...LOWASSA ndiye kinana wa kumwaga mapesa...ha ha haaa!!
 
Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kukubaliana na uzushi huu. Japokuwa matumuzi ya fedha kwa wagombea yako wazi, lakini kwanini yule anayeshika nafasi ya kwanza awe wa mwisho? Hii maana yake ni kwamba hao washauri wanaotumika kuandika posts hizi wasidhani kwamba wanamfagilia mgombea wao, bali wanamharibia kwasababu sasa itabainika kwamba mgombea wao anatumia post hizi kuwatukana na kuwapaka matope wenzake. Lakini wenye akili wanajua nani anaongoza kwa kuhonga!
 
Back
Top Bottom