risasi maulanga

risasi maulanga

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
95,747
Reaction score
136,428
huyu jamaa anajita balozi wa amani? nani kamchagua....kila kongamano yumo anaongea tilalila kibao
 
Ni mtoto wa marehemu Omar Mwaulanga. Baba yake alikuwa Ofisa Usalama wa Taifa. Maarufu sana pale Kinondoni eneo la manyanya
 
Huyu jamaa amekaa kiujanjaujanja. Nilisikia pia kua ni mshirika na kina Kimbau kwenye mambo yetu yaleee......Macau,Hong Kong,Pakistan,Brazil,Colombia etc
 
Back
Top Bottom