Waislamu wakienda hakuna tatizo maana Dubai sio ya makafir, makafir ndio hawafai. Makafir waende Ulaya na Marekani huko ndio kuna wafaa kwa kuwa kuna mfumo kristo.
Ninamjua mama mmoja wa kiislamu alienda Dubai kufanya kazi za ndani baada ya miezi nane akarudi huku anahema hataki kukumbuka kabisa. Anasema yeye mwisilamu mwenzao kafanyiwa hivo je wengine? Tusidanganye watu