Recent content by kichalu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwa mshahara huu utatoboa lini?

  2. K

    JamiiForums Tanzania Kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa Rais Magufuli!. Je, kuna uhusiano kati ya kabila la mtu, na uchapakazi wake?. Je, 2020 kuna haja ya...

    uzuri wa kiongozi yeyote ni yule anayeleta maendeleo ya watu na siyo anayetengeneza matatizo na kuanza kuyatatua kwa kutaka sifa. Ukiangalia mazungungumzo ya mkutano wote ni kama malalamiko kwa serikali anayoiongoza kwa hiyo tungekuwa na katiba iliyopendekezwa na wananchi tusingefikia hapa tulipo
  3. K

    JamiiForums Tanzania Dar: Idadi ya waliofariki kwa Kipindupindu yafikia watatu, 55 walazwa katika kambi maalum

    hivi hizi sheria za serikali za mitaa (bylaws) zinapendekezwa na nani? zinathibitishwa na nani? waziri kweli ambaye wala siyo mjumbe wa council? ugonjwa huu ni hatari sana na siyo kukimbilia kukamata waliosababisha bali ni kupambana nao kwa njia zote za kitabibu kabla ya madhara makubwa hayajaja...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Waziri January Makamba, tueleze, vyakula vya majimaji kama utumbo tutabebea wapi

    Bado inatumika mifuko iliyokatazwa Tanzania,hata bara la Asia kwa nchi ambazo nimefika China,Thailand,India,zinatumika sema elimu ipo so ukishatumia unatupa/kuweka kwenye dustbin ya recycle na wenye viwanda wanaendelea kutumia,so huwezi kuziona zimezagaa mitaani kama hapo Bongo
  5. K

    JamiiForums Tanzania Esther Bulaya Bungeni: "vijiji 54, tayari vina umeme wa REA lakini wakandarasi wamelipwa tena waende wakaweke umeme Huu ni wizi"

    hivi hizi hela za REA ndy tunakatwa kutoka kwenye mafuta ya magari na kwenye LUKU?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua blender, watalaam nisaidieni

    media brand nafikiri ndy imara lakini bei zake zinakuwa zimechangamka kiasi
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kazi ya TAKUKURU ni nini, kila aina ya biashara na shughuli ya kiofisi wanakagua je wamekubaliana na vitengo vingine.

    Taasisi ya kuzuia na kupamabana na rushwa (TAKUKURU) NDIYO Prevention and Combating of Corruption Bureau ( PCCB) KWA KINGEREZA unaweza pia kuipitia hapa kama imegoma hapo juu www.pccb.go.tz
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kuna ulazima wowote wa kusomesha mtoto chekechea kwa Milioni 4?

    ada za private zinaweza kupungua endapo serikali ingeweza kupunguza angalau baadhi ya kodi kwa hizo shule maana ni kama wanasaidia serikali kutoa elimu
  9. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

    Pumzika kwa amani mzee Reginald Mengi
  10. K

    JamiiForums Tanzania Dola Milioni 300 zetu za kishika uchumba cha Acacia, danadana zinaendelea. Je, tutalipwa kweli au tunatapeliwa?!. Rais Magufuli anaweza kutapeliwa?

    Kweli hapa kuna maswali mengi kuliko matarajio ya majibu maana tulitarajiwa tumeshalipwa hiyo 300m.Inabdi kiongozi msemaji wa mzee atujulishe walikofikia maana inaweza kuwa walishalipa tayari au wapo kwenye mazungumzo mengine
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Mh. Polepole na makada mbalimbali wa CCM nikwamba Chama cha Mapinduzi kinazidi kuimalika. Conquer with the statement?

    kwa huu mwandiko ni kweli kabisa wewe unastahili kuwa ndani ya CCM ,kwa hiyo acha kudanganya
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Serikali ipo sawa kutopandisha mishahara

    Inaonekana kuna tatizo limeshatengenezwa hapa then atatokea mtu na kuwa upande ule wa wahitaji ili kuwepo na mapambio na vigelegele kama kawaida
  13. K

    JamiiForums Tanzania Msimlazimishe Rais aone kama nyie

    Kama kutakuwa na tume huru ya uchaguzi hapo hoja yako inaweza kuwa na mashiko lkn kwa ilivyo kwa sasa bado kuna ukakasi maana anayemteua mtendaji mkuu wa tume naye ni mgombea sasa hata ikitenda haki bado kutakuwa na sintofahamu
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ole Mushi: Wabunge wa CCM hawana msaada wowote kwa wananchi. Hawana utetezi kwa wakulima na wafanyakazi. wao chama kwanza nchi baadae

    mbona wasioafiki inasikika sauti ya wachache na walioafika wanasikika ndy wengi lakni majibu ya mhes Naibu spika anasema wasioafiki wameshinda? Hebu aliyeelewa aweke wasi hapa tuelewe Kweli hili bunge la kusema ndy au hapana siyo kabisa maana maamuzi yake bila kufikiri yana madhara makubwa sana...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Thousands sign petition to oppose Parliament’s decision against the CAG

    http://changetanzania.org/petitions/wito-kwa-bunge-la-jamhuri-ya-muungano-wa-tanzania-kuondoa-azimio-lake-la-kutofanya-kazi-na-mdhibiti-na-mkaguzi-mkuu-wa-hesabu-za-serikali-ili-kuendeleza-utawala-wa-sheria-uwajibikaji-kupiga-vita-ufisadi-na-kulinda-katiba-istandwithcag
Back
Top Bottom