CHIBA One
JF-Expert Member
- Nov 16, 2018
- 560
- 2,087
Ukiangalia Mfumo wa Elimu yetu ya leo, upatikanaji wa Ajira, na ubunifu na Uhalisia wa maisha, Na gharama za elimu kuanzia Chekechea mpaka chuo
1.Elimu ya msingi imekuwa ghari zaid kuliko hata chuo kikuu.. Ada nyingi ni mill 1 mpaka 5 kwa mtoto mdogo.
Weka swala la uwezo wa mzazi pembeni, ila jaribu kuwaza tu.. Kuna ulazima wa kulipa Ada za mill 4 mpaka 5 chekechea kwa watoto kwa sababu eti wanapata elimu bora zaid??