Kiranja Mkuu alikuwa mwalimu, mke wa kiranja mkuu ni mwalimu, Waziri mkuu alikuwa mwalimu....huko kwetu kuna msemo "mambo mawili ambayo binadamu huyasahau kwa haraka ni umaskini na utasa"
Nimecheka kama mazuri, na huo mkopo wa wa elimu ya juu aView attachment 1137132lisomea Cambridge?

tuache utani pamoja na yote mshahara unatakiwa kuongezwa kulingana na uhalisia wa maisha pili kuhusu huo mkopo wa masomo hauendani na uhalisia kabisa maana bachelor of education haiwezi kuwa zaidi ya 25m per year?
kundi hili la wadaiwa hawataweza kumaliza deni lao mpka siku wanastafu maana kila mwaka linakuwa linaongezeka
Mada za wajasiriamali uchwara hii, wauza vibanda, na vi biashara mjinga . sio ww ulileta uzi humu unawahamasisha watu kwenda vijijini kulala maporini kuvuna mpunga, je ww unaetegemea kulala poroni ndo upate kula yako unawazidi nini walimu?View attachment 1136786
Huo hapo ni mshahara wa mwalimu mwenye degree, kakaa darasani miaka mingi lakini anaishia kulipwa kiasi hicho sawa na Tsh 15000/= kwa siku.
Kwa mshahara huo ulipie nyumba, umeme na maji, mshahara huo utoe mahitaji ya familia, usaidie ndugu kule kijijini, ni kiasi gani utatunza kwa ajili ya maendeleo?
Hivi kwa mshahara huu unaweza kutunza mpaka ujenge nyumba ya kawaida tu ya milioni 30, unaweza kutunza na kununua kagari kweli?
Na hapo utakuta mtu anajisifu kabisa mimi ni mwalimu.
Kila mtu ana calling yake. Sio kila mtu atauza mpunga kama ww . Toka umevuna mpunga umepata tsh ngap inayokupa kibri cha kuwadharau walimu? Wajasiriamali uchwara bwanaView attachment 1136786