Mkuu mleta mada kaongea SAHIHI. Kuna kakikundi ka watu flani Yani kanajifanya kanajua kila kitu kuliko Rais na taasisi nzima ya Urais. Rais angekua na akili za ovyo ni wazi Makonda kitambo sana angekua kaliwa kichwa. Rais hatakiwi kuendeshwa na mihemko ya kisiasa na kwa hili jpm anajitahidi sana. Rais haiitaji kuja JF kukusikiliza wewe tindo mfuasi wa chadema ili afanye Maamuzi yake. Tumuache jamaa apige kazi.
typed by six buttons.
Wako watu wamesahau kuwa hata Rais alikuwa Mbunge na ni Mbunge pia hata sasa. Wanataka kudhani Rais hakusikia alichokisema CAG kilicholikasirisha Bunge tukufu. Rais wetu ni bingwa wa kufanya maamuzi yenye tija Kwa taifa. Kama angekasirishwa na kauli ya CAG kule US basi angeshamtia adabu hapohapo siku hiyohoyo, harembi.Mkuu mleta mada kaongea SAHIHI. Kuna kakikundi ka watu flani Yani kanajifanya kanajua kila kitu kuliko Rais na taasisi nzima ya Urais. Rais angekua na akili za ovyo ni wazi Makonda kitambo sana angekua kaliwa kichwa. Rais hatakiwi kuendeshwa na mihemko ya kisiasa na kwa hili jpm anajitahidi sana. Rais haiitaji kuja JF kukusikiliza wewe tindo mfuasi wa chadema ili afanye Maamuzi yake. Tumuache jamaa apige kazi.
typed by six buttons.
Kwani Tanzania tuna rais?Rais JPM
Mwehu huyo mwenye bichwa ka korosho na maamuzi yake ya kukurupuka na hovyo hovyo?Mkuu mleta mada kaongea SAHIHI. Kuna kakikundi ka watu flani Yani kanajifanya kanajua kila kitu kuliko Rais na taasisi nzima ya Urais. Rais angekua na akili za ovyo ni wazi Makonda kitambo sana angekua kaliwa kichwa. Rais hatakiwi kuendeshwa na mihemko ya kisiasa na kwa hili jpm anajitahidi sana. Rais haiitaji kuja JF kukusikiliza wewe tindo mfuasi wa chadema ili afanye Maamuzi yake. Tumuache jamaa apige kazi.
typed by six buttons.
Akili za kilemutuz za kufikiri waweza funga mjadala kirahisi rahisi tu.... eti 'OVA'Kama Rais JPM asingekuwa mwerevu anayesimamia miguu yake basi angeshamfukuza kazi Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam Mh Makonda kwa vijineno vya watu wasioangalia mambo ya msingi na mambo ya ziada.
Hivi watanzania tunadhani Rais wetu hajui nani dhaifu kati ya CAG na Spika? kwake Inawezekana wote hakuna dhaifu, inawezekana mmojawao ni dhaifu, au inawezekana wote ni dhaifu kwake. Haya yote Rais anayafahamu, hivyo hakuna sababu ya kushinikiza jambo litokee au lisitokee kati ya CAG au Bunge.
Watanzania wana shida nyingi za kutatua zaidi ya CAG na Bunge. Hata hivyo, uchaguzi 2020 unaweza kutoa majibu ya mzozo kati ya CAG na Bunge.
Ova


Kama Rais JPM asingekuwa mwerevu anayesimamia miguu yake basi angeshamfukuza kazi Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam Mh Makonda kwa vijineno vya watu wasioangalia mambo ya msingi na mambo ya ziada.
Ova
Inategemea na namna unavyoutoa huo ushauri wako na ni ushauri kuhusu nini.Inaonekana kwako rais ni Mungu hivyo unaamini wote wanaoshauri na kumkemea ni wajinga. Shikilia hapo hapo boss.
Unawaza kwa kutumia kiungo gani cha mwili?Spika anatamani Rais mtimue CAG reoreo ikibidi na CAG anatamani Rais amjibu Spika kuwa simfukuzi ng'o kama alivyofanya Kwa mh. Makonda.
Hizi ni jitihada za kumtoa Rais wetu kwenye Kasi yake ya kushugulikia mambo ya msingi ya wananchi.
Akili yako haitoshi, kwani wauza madawa ya kulevya wanaogopa watu, polisi, mawaziri au wakuu wa mikoa wenye PhD?Kwani hata wewe unatumia vyeti vya mtu mwingine?
Nadhani watu wanalalamikia uongozi wenye sura ya ubia - kwamba ukiweka standard ya kuwajibisha watu wenye vyeti feki, wezi nk standard hiyo itumike kwa watu wote bila kubagua huyu ni kijana wangu au huyu si kijana wangu
Maybe unatumika!
Akili yako haitoshi, kwani wauza madawa ya kulevya wanaogopa watu, polisi, mawaziri au wakuu wa mikoa wenye PhD?
Vyeti anavyo ? aliowafukuza kwa vyeti feki sio watu makonda ndio mtu .laana zingine mnajitakia ndio Jiwe kila akifanya kitu hafanikiwi laana za kuonea watu .Mkuu mleta mada kaongea SAHIHI. Kuna kakikundi ka watu flani Yani kanajifanya kanajua kila kitu kuliko Rais na taasisi nzima ya Urais. Rais angekua na akili za ovyo ni wazi Makonda kitambo sana angekua kaliwa kichwa. Rais hatakiwi kuendeshwa na mihemko ya kisiasa na kwa hili jpm anajitahidi sana. Rais haiitaji kuja JF kukusikiliza wewe tindo mfuasi wa chadema ili afanye Maamuzi yake. Tumuache jamaa apige kazi.
typed by six buttons.
Tuseme vyeti hana.Kwani zoezi la Vyeti feki liliwahusu RC,DC,Mawaziri, RAS,DED, Na viongoz wengine kazi za juu?Kama ni hapana Ulitaka Jpm amkague Makonda peke yake ktk nyadhifa tajwa hapo juu?Mngekua na hoja zenye mashiko kama mngeshinikiza Ukaguzi upite ka level zote za uongoz na hapo msingeonekana mna conflict of interest na Makonda. Lkn kwa hili jpm alikua sahihi 1000000000% kutodeal na Makonda coz kudeal na Makonda ilitakiwa a deal na akina Nape, Ole sendeka, Mbowe, Kubenea, Mwigulu nk.Vyeti anavyo ? aliowafukuza kwa vyeti feki sio watu makonda ndio mtu .laana zingine mnajitakia ndio Jiwe kila akifanya kitu hafanikiwi laana za kuonea watu .
Inategemea na namna unavyoutoa huo ushauri wako na ni ushauri kuhusu nini.
Unatakà Rais wetu awe kama Rais yupi? Maana wakati madawa ya kulevya, rushwa, watumishi hewa, ufisadi, ukosefu wa dawa hospitalini, wizi wa madini, mikataba mibovu, migogoro ya ardhi, na ujambazi vinashamili marais, Bunge na mahakama vyote vilikuwepo. Yeye lazima afanye tofauti ili kupata matokeo tofauti.