Recent content by Kichaka cha shida

  1. K

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Naangalia movie ya Double Barrel KIX saivi
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hong Kong: Mmiliki wa Vyombo vya Habari vinavyotetea Demokrasia afungwa miaka 5

    Ila watu wenye akili za kimavi wataona kaonewa ila nchi za Magh ni hatari kwa mustakabali wa Dunia yetu..
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kupunguza ukubwa wa Baraza la Mawaziri

    Dooh! but meko alisema mwenyewe kuwa ndio mwisho!! Au ndio tusiwaamini hawa watu?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kupunguza ukubwa wa Baraza la Mawaziri

    Duuh huu muhula wa mwisho mkuu kila mtu anatakiwa kula asee...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Athari za Uchaguzi Mkuu, Azam TV wapandisha bei za vifurushi?

    Mimi nashangaa watu mnahangaika na ving'amuzi vya Azam.. But ishu kubwa saivi ni kupanda kwa mafuta ya kula yanayomgusa kila mtu.. Mwanzoni nikikuwa nachukua ndoo ya lita 20 kwa bei ya jumla kwa tsh 56k saivi ninavyozungumza ndoo ni Tsh 69k kwa bei ya jumla kwa mtu anayenunua kuanzia ndoo 5 na...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya mishahara kwa Watumishi Tanzania

    Sawa... But kuna watu wanadhani walimu wa astashahada hawana uwezo wa kufundisha watoto wao,ngoja niwaeleze kitu hakuna walimu bora kama hawa wa cheti walimu wengi wenye digree wanajiona kuwa wao ni kila kitu ko hawastahili kuwafundisha watoto wetu but angalia maprofesa wengi wamefundishwa na...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Je, Meli ya Mv Victoria ni mbovu?

    Mimi sio mwana CCM kabisa but huwa napenda mtu anapoleta post kama hii angalau kuwe na ushahidi.. Coz habari bila ushahidi zinafanya tunaochangia tuonekane hatuna akili pls wekeni habari na ushahidi ili JF iendelee kuwa bora..
  8. K

    JamiiForums Tanzania Je, Medard Kalemani ameteuliwa kuwa Waziri wa Nishati kimya kimya?

    Mimi sio CCM ila kwa hili la kalemani nadhani ameenda kama waziri wa nishati mstaafu na sio waziri wa nishati may be wametambua mchango wake katika ujenzi wa hilo bwawa.. but inawezekana mkeka wa mzee upo tayari ila kama kaenda kama waziri Meko anakosea vitu vingi sana asee na sijui kama ana...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Rais Donald Trump amfuta kazi Afisa wa Uchaguzi aliyepinga madai yake

    Ingekuwa bongo land tayari watu wote wanaompinga wangekuwa Lockup
  10. K

    JamiiForums Tanzania Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma - Julai 04, 2001

    Hizi stori zinazokuja roborobo ni majanga tu si mlete uzi mzima!!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

    Dahh! Unazingua jomba acha hizo basi
  12. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apinga uzazi wa mpango, asema wananchi wanapotoshwa

    Kwa hili leo nakuunga mkono baba J
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya CUF, Julius Mtatiro atangaza kuachana na chama hicho! Ajiunga na CCM

    nmejaribu kutafuta cha kuandika nmekosa bora niendelee kujificha kwenye haka kakichaka changu asee
  14. K

    JamiiForums Tanzania Polisi wadai hakuna mbwa aliyepotea, anayedaiwa kupotea yupo mafunzoni

    yani wanatuona Watanzania ni wajinga kwa kiasi hicho kweli?!! Aliyesema mbwa amepotea sio vyombo vya habari ni huyo Kungwi lulola wakampe majibu yy shenzi kabisa...
Back
Top Bottom