Recent content by Kichaa Msafi

  1. Kichaa Msafi

    JamiiForums Tanzania GE2025 CDF Mkunda: Wanaofanya vitendo vya kihalifu waache mara moja na wananchi endeleeni kuwa watulivu

    Wenye d 2 tushang'amua Samia Hana chake amekuja tu kupima upepo, kesho mtasikia habari nyingine wananchi piga makofi mengi sana
  2. Kichaa Msafi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anachelewa sana kurudi nyumbani anasema akitoka kazini anaenda kwenye maombi

    Wangu nilimwambia achague moja kati ya kwenda kwa mchungaji na mume akachagua mchungaji, tukaachana, baada ya miezi min
  3. Kichaa Msafi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Updates: Matukio muhimu kuhusu Maandamano ya tar. 29 Oktoba 2025

    Wewe mwenyewe tunakutamani balaa
  4. Kichaa Msafi

    JamiiForums Tanzania Andrew Nyerere: Ukimpa mtoto peremende hakikisha anamsifu na kumshukuru Mungu

    Mungu yupi kwanza? Wa biblia ambae ni mbaguzi mbinafsi na mpenda uongo?(yule ambae alimlaani shetani kwa kumbwambia hawa ukweli kuhusu tunda la mti wa uzima)au Allah ambaye anapenda visasi watu wawe washirikina uzinzi na mabikira 72 peponi ambaye siku yesu akirudi yeye ndo atakuwa wa mwisho...
  5. Kichaa Msafi

    JamiiForums Tanzania Nyinyi mnaokula mchana kipindi hiki ni akina nani? Mnatukera bwana

    Dini ni umaskini na upumbavu
  6. Kichaa Msafi

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

    Vipi kama mtu anahitaji passport unamshughulikiaje?
  7. Kichaa Msafi

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukutana na watu wa ajabu kwenye maisha yako? Walikuwa watu wa aina gani?

    Kwa nini umetumia picha yangu bila ridhaa yangu? Naomba ufute!
  8. Kichaa Msafi

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

    Mungu ni kiumbe kilichotengenezwa na hawa Caucasian ili kumtisha mtu mweusi na kumtoa kwenye tamaduni zake lakini kiuhalisia hicho kiumbe hakipo,ila huu ulimwengu unanguvu kuu ya asili yaani natural, ukifanya mema utayaona mema yakija kwako na ukifanya mabaya utayaona pia na utayalipia hapahapa...
  9. Kichaa Msafi

    JamiiForums Tanzania Promota mnataka Mandonga afie ulingoni?

    Mandonga wewe Mandonga karimu Mandonga Leo umepigika sana yaana umechapwa hapo Kenya na wanyonyi nakuomba tena pambano la tarehe 29 na Golola usipigane nakuomba sana
  10. Kichaa Msafi

    JamiiForums Tanzania Promota mnataka Mandonga afie ulingoni?

    Chief Mimi sipo humu kutishia mtu ila naongea uhalisia
  11. Kichaa Msafi

    JamiiForums Tanzania Promota mnataka Mandonga afie ulingoni?

    Hazizid round 2
  12. Kichaa Msafi

    JamiiForums Tanzania Promota mnataka Mandonga afie ulingoni?

    Kabisa ilifika kipindi mabondia Uganda walikuwa hawataki kupigana na huyu jamaa
  13. Kichaa Msafi

    JamiiForums Tanzania Promota mnataka Mandonga afie ulingoni?

    Ndugu yangu huyu sio mnyanyua vyuma tu hata mikanda anayo mingi Kwa uzoefu wa huyu jamaa naona promota wamechoka kumuona Mandonga akicheza cheza jukwaani huyu Golola uwezo wake hata Dulla Mbabe hawezi kumpiga sababu nimeshashuhudia mapambano yao wakipigana na watu tofauti
  14. Kichaa Msafi

    JamiiForums Tanzania Promota mnataka Mandonga afie ulingoni?

    Chief huyu jamaa sio anatisha tu hata jukwaani ni mzima sana jaribu kupitia wasifu wake
Back
Top Bottom