Recent content by kibuzimaringo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Live kutoka full councill ya Halimashauri ya Jiji la Arusha

    Wanasusa chakula jela!!!!!! Hakuna atakayekubembeleza:a s 39:
  2. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamwaga nyaraka za 'siri' Hesabu za Ruzuku; Msajili na CAG wawajibike

    JAMANI HIZI SIO NYARAKA ZA SIRI NA PIA HAZIJAKAGULIWA NA GAG,NGOJA NISUBIRI NA ZA VYAMA VINGINE NAZO ZITAKUAJE:A S-confused1:HASWA CHAMA DUME.SAFI SANA PAC KEEP IT UP!!!!!!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa kutisha jiji la Mwanza,mbunge wa CHADEMA ndiye hatari zaidi

    Mkaguzi wa ndani wa halmashauri yupo? Aliyaona na kumshauri mkurugenzi? Vipi mkurugenzi na mweka hazina wapo? Acha siasa yako wewe,national audit wameionana hiyo? Je wametoa hati gani ya mahesabu?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Machine ya kuangulia vifaranga

    Nyumba inauzwa dalali hatakiwi,ina vyumba 16,ipo arusha-krt mjini - inawapangaji
  5. K

    JamiiForums Tanzania Machine ya kuangulia vifaranga

    Nyumba inauzwa dalali hatakiwi,ina vyumba 16,ipo arusha-krt mjini - inawapangaji
  6. K

    JamiiForums Tanzania CPA inaumuhimu kuisoma??

    mimi ninayo tangu 2009 hakuna kipya,cpa zamani kwa sasa mpk uwe na PR ndio inaweza kukusaidia,najuta kupoteza muda huku bado unahitaji kumnyenyekea mtu akubebe
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tusichokijua kuhusu janga lililomsibu Ufoo Saro

    mchaga ni mchaga tu,mburaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! pesa kwanza utu badaye
  8. K

    JamiiForums Tanzania Michezo ya Leo 13 October 13 LKT Azam FC v JKT Ruvu - Chamazi Complex

    mbeya city tupeni matokeo
Back
Top Bottom