Live kutoka full councill ya Halimashauri ya Jiji la Arusha

Live kutoka full councill ya Halimashauri ya Jiji la Arusha

Magamba ni ukoo wa panya wamenaswa mimacho kodooo!!!Lema washughulikie hao wehu.
 
Safi sana , tunaongoza manispaa hata kabla ya muda ! Kweli nimeamini UOGA NDIYO DHAMBI MBAYA KULIKO ZOTE !
 
Kiboko ya madiwani wa CCM jiji la Arusha ni Mama Sipora Liana! Lazima Boxer ziwabane!
 
chezea mama sipora liana aliwabana MAGAMBA mpaka ushuzi uliwatoka hawakuiba kura hata chembe,mi nasubiri tu uchaguzi wa sombetini tuchukue kata hiyo M4C iki chama bwana nomaaa.
 
Back
Top Bottom