Naombeni msaada wa dawa nzuri iwe ya mitishamba au ya kitaalamu kwa mtu aliye na tatizo la minyoo sugu linalopelekea akijikuna mwili unavimba
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazoefu nisaidieni mzigo wangu tokea tarehe 30/07/2019 Unaonyesha uko mzee Ramaphosa tatizo litakuwa ni nini linalopelekea mzigo kutoendelea na safari?
Msaada wa hali na mali unahitajika kuna mama mmoja anamtafuta kaka yake ambaye ni mdogo wake aitwae THOMAS MWAKITALU huyo mdogo wake alizaliwa mwaka 1991 katika wilaya Serengeti kilipokuwa kituo cha kazi cha baba yake.Baba yake huyo alikuwa askari polisi aliyekuwa anaitwa BENARD SAMWELI...
Msaada wa hali na mali unahitajika kuna mama mmoja anamtafuta kaka yake ambaye ni mdogo wake aitwae THOMAS MWAKITALU huyo mdogo wake alizaliwa mwaka 1991 katika wilaya Serengeti kilipokuwa kituo cha kazi cha baba yake.
Baba yake huyo alikuwa askari polisi aliyekuwa anaitwa BENARD SAMWELI...
Nilikuwa mteja wa tala hapo awali ila sikuweza kuitumia kama miezi 3 hivi sasa wiki kama mbili sasa hivi kila nikijaribu kuingia kuomba kamkopo inanikatalia inanipatia ujumbe wa OMBI LAKO LINASHUGHULIKIWA UTAPEWA UJUMBE WA OMBI LAKO KUKUBALIWA sasa yapata wiki mbili na nilikuwa mrejeshaji mzuri...
Mkuu nakushukuru sana tena sana nimehangaika sana kupata jina la hiyo rangi bila mafanikio umenisaidia sana. JF IDUMU MILELE
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.