Recent content by kibunange

  1. kibunange

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna uwezekano mkubwa wa LOCKDOWN nchi nzima. Kama hujajiandaa fanya sasa

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  2. kibunange

    JamiiForums Tanzania Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

    Hata Albert Einstein mwishoni kabisa alokiri uwepo wa Mungu... Sent using Jamii Forums mobile app
  3. kibunange

    JamiiForums Tanzania SIDO Dar es Salaam wanatoa fursa ya ubunifu kwenye eneo lolote

    Jambo la kuzingatia kwa vijana pia ni kupunguza urasimu, msururu wa taasisi za udhibiti na sheria kandamizi kibiashara. Kuboresha elimu ya msingi na kujenga jamii yenye kufikiri na kutenda.
  4. kibunange

    JamiiForums Tanzania Fahamu ukweli kuhusu radi na radi ya kichawi na namna ya kujikinga

    Kwanini mahali radi inapoangukia hupatikana vipande vya vitu vimekaa kama kioo cha tinted...ziko kama sheets unaweza kuviachanisha..
  5. kibunange

    JamiiForums Tanzania Tanzania taifa lenye utakaso

    Habari za leo wananzengo!? Ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya. Leo ningependa kutoa mtazamo wangu wa kiroho juu ya taifa hili teule la Mungu. Taifa lenye misingi ya utu na umoja. Taifa lililobarikiwa kwa kila aina ya baraka, ardhi, watu wapole, mimea, madini, mito, wanyama, milima, maji...
  6. kibunange

    JamiiForums Tanzania Makanisa ya kiroho mnatupeleka wapi?

    Kwani lazma uende huko!?
  7. kibunange

    JamiiForums Tanzania Kwanini matajiri wengi wana roho mbaya?

    Mwanadamu hata umjali atakuumiza tu bora kuwa kauzu na kufanya yako
  8. kibunange

    JamiiForums Tanzania Msichana anamdai hela mwanaume kama konda anataka nauli

    Mwingine unamtafutia mpaka ajira na anaajiriwa na anapata mshara mzuri lakini anaendelea na vizinga...shubamit
  9. kibunange

    JamiiForums Tanzania Advance Physics ilivyokuwa inatugeuka ndani ya chumba cha mtihani

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  10. kibunange

    JamiiForums Tanzania Chimbuko la ugaidi duniani ulipoanzia mpaka sasa hivi ulipofikia.

    Mambo adhimu sana haya, najiuliza kwanini shule tunafundishwa vitu vyepesi sana na kuacha mambo complex na muhimu ya kidunia kama haya.. Asante Mkuu
  11. kibunange

    JamiiForums Tanzania Huyu kijana mchota maji 'kanilia' mke wangu

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  12. kibunange

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Babu Tale, Fella, hayati Kanumba yana financial freedom kuliko wasomi wengi. Tunakosea wapi?

    Wasomi wangapi unaowafahamu wewe? Acha ulimbukeni...elimu haina mbadala hata hao unaowataja hawana academic freedom hawawezi kufanya kazi nyanja za kimataifa.
  13. kibunange

    JamiiForums Tanzania Fahamu aina nne za watu katika jamii

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  14. kibunange

    JamiiForums Tanzania Fahamu aina nne za watu katika jamii

    Habari za asubuhi wana JF? Katika maisha yetu ya kila siku tumezungukwa na watu wengi wa aina nyingi, ambao kwa namna moja au nyingine hutoa mchango hasi au mchango chanya katika maisha yetu. Hivyo umakini mkubwa unahitajika ili kuweza kuwatambua watu hawa, aina zao na tabia zao ili kuweza...
Back
Top Bottom