Recent content by Kibumbula

  1. Kibumbula

    JamiiForums Tanzania App Mpya ya JamiiForums - Agosti 2026

    Beautiful
  2. Kibumbula

    JamiiForums Tanzania [Kumbukizi] Askofu Kakobe: Kama hutoi ZAKA nakutimua

    🤣🤣🤣🤣🤣Kama kwenye mambo mengine fedha mnatoa,basi na huko kwenye nyumba za ibada toeni vile vile.
  3. Kibumbula

    JamiiForums Tanzania Floyd Mayweather, kutoka utajiri wa $ 1.2 Billion (Tshs Trilioni 3) mpaka kuwa somo la umuhimu wa nidhamu ya fedha. Madeni na kesi vyamwandama

    Mheshimiwa, samahani kama nitakuwa nimekukosea.Hivi kuwa na nidhamu ya fedha zako mwenyewe ni lazima wasingiziwe wazungu kama tunavyoendelea kuwalaumu kuwa wao ndio sababu ya sisi waafrika kuwa masikini wakati nchi zetu zote Afrika ziko huru?
  4. Kibumbula

    JamiiForums Tanzania BBC: "Watengenezaji wa magari duniani wanapata shida kushindana na China"

    Wasiruhusiwe na nani tena mkuu?Wale jamaa hawazuiliki kamwe.
  5. Kibumbula

    JamiiForums Tanzania BBC: "Watengenezaji wa magari duniani wanapata shida kushindana na China"

    Vilio vimeanza kusikika gizani.
  6. Kibumbula

    JamiiForums Tanzania Moore's Law vs Tao Law. China kupitia Huawei inaleta mbinu mpya za kuunda chips za hali ya juu zaidi

    Kwa speed Ya Cheetah,mwamba ana-take over na kugeuza watu walilodhani haliwezekani upside down.
  7. Kibumbula

    JamiiForums Tanzania US: Tumeiruhusu meli za mafuta ya Iran kupita katika mlango wa Hormuz

    Marekani ni mpuuzi tu.Huyo huyo kapiga mabomu kwenye kile kisiwa ambako mafuta mengi ya Iran hupakiwa,eti leo kayaruhusu mafuta ya Iran.Ni mtu hamnazo pekee anayeweza kuielewa hiyo futuhi.
  8. Kibumbula

    JamiiForums Tanzania US: Tumeiruhusu meli za mafuta ya Iran kupita katika mlango wa Hormuz

    Yaani hao jamaa ni kama vile futuhi.Full vichekesho.
  9. Kibumbula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mahitaji ya nyakati, harakati za Gen Z vimewafubaza wasanii

    Hao wasanii hawajui kusoma alama za nyakati kabisa.Wao walijua kuwa kizazi hiki cha Gen-Z kina haiba zile zile na mtazamo ule ule wa MWENGE. Wasanii hawatakuwa tena wale wale na tambo zile zile. Huu ni muda wao sasa wa kulia njaa.
  10. Kibumbula

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    NO REFORMS NO ELECTION
  11. Kibumbula

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    🙏🙏💯
  12. Kibumbula

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Telegram Tanzania una shida gani?

    Tumia VPN inafunguka.Nina wasiwasi na kinachoendelea, yawezekana mamlaka imefanya yake, sidhani kama kutofunguka kwake kunahusiana na kukamatwa kwa Durov.
Back
Top Bottom