Recent content by kibuluzo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba zinapangishwa jijini mbeya, mtwara na dar es salaam.

    Mimi nahitaji nyumba mikocheni, vyumba vitatu vya kulala self yakueleweka bei isizidi one million per month. Namba yangu ya cm ni 0755 214 620
  2. K

    JamiiForums Tanzania Vitz inahitajika

    Nikupe namba b kwa 7 mil?
  3. K

    JamiiForums Tanzania JPM: Walipe Wastaafu EAC

    Kwa kweli inasikitisha, Mimi baba yangu alistaafu 1979, mpaka leo hatujalipa kama sio dhuluma ni nini? Wakati pesa ilitolewa na wenzetu nchi jirani walilipwa bila shida yoyote.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mbona watu wengi wanapenda kuhama usiku tu?

    Wengi wanaficha aibu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye anataka nife na ndoto zangu

    Kwa hiyo unataka kuniambia kwamba amekurupuka?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa, kipo Goba Kinzudi, ukubwa 30m x 35m

    Pia ninacho kizuri kipo Kivule Chakenge, karibu inapojengwa hospitali ya wilaya ya Ilala, kina ukubwa wa hatua 35 kwa 30 bei 8.5mil. Kama unahitaji nipigie 0755 214 620
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kajipu uchungu

    Unaweza kuwa hauzi, anakuja mwenye
  8. K

    JamiiForums Tanzania Diamond aelemewa gharama za kumtunza Zari, lolote kutokea muda wowote

    Simple mind!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi vs Le Mutuz katika Beef Zito kisa Dr. Mwaka

    Mbwa ukimjua jina hakusumbui
  10. K

    JamiiForums Tanzania Faiza: Ushindi wa Sugu hauna faida kwangu

    Faida Inapaswa waipate wananchi waliomchagua na sio yeye. Hapa kazi tu, aaala
  11. K

    JamiiForums Tanzania Clean 9: Mkombozi wa wale wenye mafuta yaliyozidi mwilini. Punguza 3kgs - 8kgs Kwa Siku 9 tu

    Tupunguziane hilo wese wengine hatuna
  12. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Goba

    Umesema meta 1500-2000 unajua maana yake, au hujui vipimo?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Plot for sale: kitunda Magore kwa Mpemba

    Mwisho kabisa 7.5m, ukiuona huchomoki
  14. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Goba

    Ushapata boss, tafadhali nijulishe
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kutosha familia inapangishwa Vituka Jet Lumo ( Nyuma ya Airport)

    Safi Mzee, Mimi si mteja, Bali nakutafutia mteja fasta siunajua mambo ya mjini! Au unasemaje?
Back
Top Bottom