Recent content by Kibulu

  1. K

    Nani mwanasiasa bora wa mwaka 2013?

    James mbatia
  2. K

    Uchaguzi una kushinda na kushindwa...

    Niipongeze kamati na halmashauri kuu ya Chadema kwa kufanya kampeni za kiungwana, za kistaarabu ndio democrasia ilivyo. Kwa ccm nadhani kushindwa kwenu ni matokeo ya ubabe unaofanywa na viongoz wao kimkoa akiwemo Mkuu wa Mkoa Arusha Magesa mulongo na wengneo. Pia akna Mwigulu ni 7babu 1wapo ya...
  3. K

    Mbowe: Mabomu yamerushwa na Polisi kwa maagizo ya Serikali

    Kiongozi mkuu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Freeman Aikaeli Mbowe ameitaka serikali isijisumbue kuunda tume, wala kupoteza hizo fedha za walipa kodi kwa kumtafuta mlipuaji, yeye amewakabidhi taarifa na ushahidi wa picture halisi jnsi ilivyokuwa. Nape atudhibitishie jinsi hawa waliofariki...
  4. K

    Mbowe: Mabomu yamerushwa na Polisi kwa maagizo ya Serikali

    I belive that even a hour you can get realy picture of the phenomenor which happened few minites ago. Sasa una complain kitu gan? Tatizo lenu Mnaojiita Watanganyika wa kileo mnaona mbele lakini hamuangalii mbali. Mmekaririshwa tukio lolote likitokea ni lazima liundiwe tume ikae miezi,miaka ndo...
  5. K

    Anne Makinda: Sijapata taarifa kutoka kambi ya upinzani kuwa hawatahudhuria bungeni

    Hivi watu wa kaskazini kuna shida gani manake mafisadi wote wanaishambulia sana kaskazini hasa Arusha to Killimanjaro. Ndio mikoa pekee ambayo viongozi wake wabunge hushambuliwa kama magaidi mabomu kibao yenye madhara mi nadhani huenda wakaanza kudai na wenyewe wawe na serikali yao na nchi yao.
  6. K

    Anne Makinda: Sijapata taarifa kutoka kambi ya upinzani kuwa hawatahudhuria bungeni

    Ungekuwa wewe Ndio kiongozi wa upinzani labda ungefanyaje? Yaani janga la kitaifa litokee then mkakae mnazunguka kwenye vit badala yakuangalia huyu mdudu anayeitafuna democrasia na kuua watu anadhibitiwa kabla hawajasambaa. Toa maoni, usilaumu kijana.
  7. K

    Msanii Joseph Haule (Prof. Jay) ajiunga CHADEMA

    Namkubali sana na sio mimi tuu wala wanajimbo, tunamkubali Tz kwa ujumla. Safu inaendelea kuimarika
  8. K

    Nape kuunguruma Igunga leo

    Amepoa kweli siku hizi anatafuta matusi
  9. K

    Picha: Mkakati wa CHADEMA kusambaratisha CCM Kanda ya Kaskazini

    Ni kwamba watanzania wamechoka na ubabe dhidi ya watawala wao, wamechoka na umasikini mkubwa wakati nchi hi ina maliasili za kutosha, wachache wamekuwa wakitumia kodi zetu kwa kupeleka watoto wao nje kusoma na kuagiza suti japan, ltaly, franch, dubai n.k
  10. K

    Wasanii wa kizazi kipya wanaotarajiwa kugombea ubunge 2015

    Juma kasim Nature wa Tmk. Then usikilizie hilo bunge litakuwaje
  11. K

    Ghorofa linawaka moto sasa hivi

    Kwa mujibu wa mtoto aliyeshuhudia tukio hilo, anasema aliwaona watu wamekuja na gar then wakarusha kitu ndipo moto ukalipuka, na wao wakatimua mbio? Hivyo tusubiri FBI wakiingia watachora katuni fasta na tutawapata
  12. K

    Mrema aibuka na Kikwete!

    Mzee Mrema ulikuwa wapi? Yaani huko bungeni hatukusikii kabisaab? Sijajua tatizo ni nini? Mrema wa leo sio kama wa zamani? Mrema wa 95 alikua akikohoa wananchi wameshahoji kuna nini,akienda vjijini anawekewa kanga chini anapita? Lakini leo wananchi wanamashaka na uwepo wake bungeni? Yupo kwa...
  13. K

    CHADEMA Wameliharibu Sana Bunge Letu! Hadi Mawaziri Wetu!, Kama Vipi Kifutwe Kabisa Tujue Moja?!.

    Wakati Bunge Letu likiendelea huko Dodoma, yameibuliwa mambo mbalimbali kutoka kwa wapinzani wetu CHADEMA dhidi ya majangili ya rasilimali za nchi hii hasa tembo ambao ndio walionekana kutoweka kabisa. Kusema kweli hawa CHADEMA walijipanga. Mimi ni CCM pure lakini niwe muwazi yaliyosemwa na Mch...
  14. K

    Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA Arusha - Mei 02, 2013

    Umeona hao raia? Sio ninyi mnaoenda mkutanoni na wasanii na kuwatoa watoto shule na kubeba wanachama kwa magari.
  15. K

    Msigwa awashika CCM: Ahoji kwanini hawaombi ushahidi wanamwita tu Mwongo

    Kwanza mwenyekiti wa kikao Jenister Mhagama amekuwa bora kuliko Job Ndugai na Mkuu wake, nasema hivi kwasababu amejitahidi kubalance mambo licha ya kwamba kunawakati aliteleza lakini kiukweli kajitahidi. Yaliyosemwa na Mch. Petter Msigwa kwa mwenye akili ya kufikiri amegonga sehemu ambapo...
Back
Top Bottom