Recent content by kibulambwana

  1. kibulambwana

    JamiiForums Tanzania RC Paul Makonda afika Bungeni kuhojiwa na Kamati ya Maadili. Taarifa itasomwa bungeni...

    Hakuna cha mana zote ni geresha ti.
  2. kibulambwana

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Rais Magufuli yageuza upinzani nchini

    Mana hawachelewi kukuita mpinzani.
  3. kibulambwana

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Rais Magufuli yageuza upinzani nchini

    Sawaaaaa.
  4. kibulambwana

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Rais Magufuli yageuza upinzani nchini

    Ilo ndio lamaa, kivuruge tu kila utawala.
  5. kibulambwana

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ananisaliti pia anajifanya ananipenda

    Alafu kweli huenda yeye ndio mchepuko, ila ndugu aangalie kama hayaja mkukuta atakuja lia.
  6. kibulambwana

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ananisaliti pia anajifanya ananipenda

    Aisee umefanya kosa kumpiga, usirudie tena kupiga mwanamke. Chamsingi kama imegundua ana wanaume wengi na ukathibitisha achananae magonjwa mengi sikuhizi, usipende kupiga wanawake.
  7. kibulambwana

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kwa hili yuko sawa, ITV jirekebisheni

    Jamaa wanataka watanzania wooooteee tuwe na akili kama zao, MTU unaona rangi nyeusi useme nyeupe.
  8. kibulambwana

    JamiiForums Tanzania Njelu Kasaka: Hakuna aliye salama ndani na nje ya CCM

    Sio kwamba hawajui kinachoendelea tatizo hawana hofu ya mungu.
  9. kibulambwana

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Rais Magufuli yageuza upinzani nchini

    Endeleeeni tu, IPO Siku tutajua nani msema kweli.
  10. kibulambwana

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na Rais Magufuli, kweli Watanzania wengi wanapenda sana udaku udaku.

    Wewapi ndugu yangu au ndio mahaba yamekuzidi!?.
  11. kibulambwana

    JamiiForums Tanzania Flyover na Fedha za World Bank: Kipigo kingine kwa Tanzania

    Itafahamika tu.
  12. kibulambwana

    JamiiForums Tanzania Eureka: Kumbe Push up za Magufuli ilikuwa danganya toto!

    Wagonjwa wenyewe wana zereu.
  13. kibulambwana

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe kama kipo anachokiamini basi ni madaraka tu

    Unadhani angemchagua nani wakati wote vilaza.
  14. kibulambwana

    JamiiForums Tanzania Naomba kufundishwa namna ya Kutongoza Mwanamke

    Dahh!! Kumbe kuna wanaogopa kutongoza? Silaha kubwa ya mafanikio ni kujiamini muone bashite anavyo jiamini na fa fa zake huku akiwaburuza wana dasaama.
Back
Top Bottom