Mwakyembe kama kipo anachokiamini basi ni madaraka tu

Ukitaka kummaliza msomi wa kitanzania mpe ulaji yaani cheo.. Utashangaa anasema umemtoa kutoka si chochote hadi mtu anayefaa!

Sijui Tanzania tutafikia lini pale mtu anateuliwa na anakataa uteuzi kama wenzetu wamarekani!

Msomi mkubwa tu, ukimpa cheo unamburuza mpaka ulimi anautoa nje! Wakikaa na vijana huko mitaani wanawahubiria kujiajiri!
 
Hivi huyo aliyeandika alimsikiliza alichosema Rais juu yake na hiyo post mpya aliyomuweka au!?

Mnatia aibu, udaku umewazidi.

Hapa kazi tu
Usukule umekuzidi mapaka unatia huruma na kinyaa.

Siyo kila kitu cha kuitetea serekali ongea kama wewe mtanzania wa kawaida usiongee kama msukule wa ccm kama unavyofanya.

Bure kabisa, bira tungekutoa sadaka huko burundi kwa nkurunziza ndiyo unakofanania.
 
Dr. Mwakyembe ananishangaza mno, huyu kabla hajawa waziri somewhere nilimsikia kwa masikio yangu alivyokuwa against serikali. . Akitolea mfano sakata la ubinafishaji wa NBC alivyorishwa. ..na mambo kadhaa wa kadha. Ajabu tangu kuvikwa uwaziri si yule ambae nilimuona shujaa tena. Dr. Mwakyembe katutupa. Mungu wangu kweli shibe mwana malevya njaa mwana maleza. Mheshimiwa kakutuma nenda kafanye kazi, nenda kafungie, kweli utafanya hivyo hahaha?? Juzi Mh. Kakasirika kisa hajaandikwa kurasa za mwanzo akiwa bandarini aaah. God bless Dr. Mwakyembe
 
Mwakyembe hana tofauti Makonda,wote ni watu wa kuishi kwa vinvuli vya wengine huku wakinyenyeke na kupika fitina na majungu.
Unataka kusema Phd holder mwakyembe hana tofauti na Bashite mzee wa zeroo.

Ni bora icho cheti chake cha uprofesa akatumie kama kichambio kuliko kujiabisha kwa sababu ya ulafi wa madaraka
 
Dr. Mwakyembe ananishangaza mno, huyu kabla hajawa waziri somewhere nilimsikia kwa masikio yangu alivyokuwa against serikali. . Akitolea mfano toka sakata la ubinfishaji wa NBC. ..na mambo kadhaa wa kadha. Ajabu tangu kuvikwa uwaziri si yule ambae nilimuona shujaa tena. Mungu wangu kweli shibe mwana malevya njaa mwana maleza. Mheshimiwa kakutuma nenda kafanye kazi, nenda kafungie, kweli utafanya hivyo hahaha?? Juzi Mh. Kakasirika kisa hajaandikwa kurasa za mwanzo akiwa bandarini aaah. God bless Dr. Mwakyembe
Ile ilikuwa ni kick na ilibuma vibaya saba, eti jpm kakamata makontena bandarini. Au siku hizi amekuwa askari nini.
 
Usukule umekuzidi mapaka unatia huruma na kinyaa.

Siyo kila kitu cha kuitetea serekali ongea kama wewe mtanzania wa kawaida usiongee kama msukule wa ccm kama unavyofanya.

Bure kabisa, bira tungekutoa sadaka huko burundi kwa nkurunziza ndiyo unakofanania.

Oooh naona ukweli umekugusa.

Mimi ni mwananchi nisie na chama.

Magufuli oyeeeee

Makonda oyeeeee
 
Ni jitu ambalo halina aibu hata chembe....Hatari kwa taifa.
 
Ni aibu kuwa mwananchi kwenyenchi yenye kiongozi mfano Wa jamaa!!
historia yake kwenyesiasa ni mfano Wa kuepukwa na vijana na watoto nawajao wote...
ningeshauri kitungwe kitabu au movie"JINSI YA KUEPUKA KUWA KAMA MWAEMBE". Ndani kionyeshe
-undumila kuwili
-uzandiki
-usaliti Wa taaluma
-uropokaji na kuingilia ibada mf. ndoa
-majibu ya kebehi
-kuchukiwa mpaka kuwekewa sumu.
-chuki mpaka kutaka kufuta taasisi halali.
-kudharau utendaji Wa wenzio kazini nk.
 
Niliwahi sema Mwakyembee ni msomi wa sheria kiwango cha PHD, lakini hana hekima. Ana elimu kubwa lakini hajamsaidia wala kumjengea uwezo wa kufanya maamuzi sahihi kama kiongozi.

Hana msimamo wala anachokiamini. Kama kipo anachokiamini, basi ni Madaraka.

Wanaofuatilia na kutafakari juu ya mwenendo wa mwanasiasa huyo, wanadai tatizo lake ni hamu ya madaraka.

Yuko tayari kuitikia hata asiyoyapenda au kusaliti Mtazamo wake ili kulinda au kupata Madaraka.

Madaraka ni kilevi chake. Kila penye harufu ya Madaraka ni tatizo kwa Mwakyembe.

NINA MIFANO MICHACHE.

1.JK akiwa rais alimwona Mwakyembee anavyopambana bungeni. Haikuchukua muda kumsoma anachotaka. Ndipo JK akampa unaibu waziri na baadaye uwaziri kamili. Akatulia.

Baada ya kupata alichokuwa anakitafuta, ukawa ni mwendo mdundo kufanya lolote ili kushikilia alichonacho.

2.Aliandika andiko la PHD yake ya sheria. Huko alijadili akidai Muungano wa serikali tatu unafaa. Kwa ubora wa andiko hilo akapewa PHD.
Wakati kuandika katiba mpya ndani ya BMK alibadilika kuunga mkono serikali mbili. Alisaliti hata andiko lililompa heshima ya udaktari.

3.Alipokuwa waziri wa katiba na sheria, alifikiria na alisema atakifuta chama cha wana sheria Tanganyika(TLS) kwa sababu aliyegombea na kushinda urais wa chama hicho hapendwi na serikali, hata boss wake. TLS aliyotaka ifutwe ndio iliyompa heshima ya kuwa wakili.

4.Amepewa cheo cha uwaziri wa habari na michezo. Ameanza kazi kwa kuonesha umma kuwa mtangulizi wake alikuwa anakosea. Yote haya ni katika kuhalalisha makosa ya boss wake ya kumfukuza kazi waziri aliyetaka kumwajibisha mpendwa wake RC wa DSM.

5.Mwakyembee anazungumzia natural justice. Anasema kamati ya Nape haikumhoji RC wa mkoa wa DSM, wakati anajua RC huyo, alitoroka asihojiwe.

6.Lakini, Mwakyembe huyu huyu mwaka 2008 alikwenda kinyume na principle ya Natural justice. Aliwahi kuwa mwalimu wa sheria chuo kikuu cha DSM.

Alikuwa mwenyekiti wa kamati teule ya bunge 2007 iliyochunguza sakata LA Richmond.Alitoa Ripoti februari 2008 iliyomhusisha aliyekuwa waziri mkuu(Lowassa) akijua kuwa kamati yake hakumhoji au kumpa nafasi Lowassa kujitetea.

8.Baadaye mwakyembee alisimama bungeni na kudai kuna mambo aliyaficha ili kulinda heshima ya serikali.Mpaka Leo haweka hadharani mambo aliyoyaficha.

9.Huyu ndiye mwanasheria anayesifiwa na JPM kuwa ni mzuri na akaridhika na kuchekelea. Lakini,anayemsifia ndiye aliyemwondoa kwenye wizara ya katiba na sheria, inayoendana na taaluma yake ya sheria. Ina maana haridhiki naye. Hajui hilo.

Watu wa aina hii ya Mwakyembe mwisho wao huwa ni fedheha.

kibonadickson@gmail.com.
Mzee wa matamko hewa
 
Kingine anachoamini ni kutumwa tumwa na bosi wake fanya hiki na kile.
 
Tabia hii hana Mwakyembe pekee, karibu Viongozi wote wanafumbia macho mabaya, na imewafanya Watanzania kuishi kwa mateso makubwa. Kwa mufano pesa za Escrow pamoja na wizi mkubwa uliyotokea, mambo yanazimwa, Watanzania wanasahau, na Viongozi wetu wanalindana kwa mateso yetu. Na kila mtu kimya. Viongozi wetu wamefaidika kwa kuwadhurumu walio wengi, Hakuna chochote kimetokea, tulidanganyika kuwa watu waliohusika watachukuliwa hatua, wengine wakaweka zaidi ya mawakili kumi kupigana na wanyonge. Mategemeo makubwa wakati Rais Magufuli aliposhika madaraka, wengi tulikuwa hatuamuamini kama ataleta mabadiliko, lakini alipoanza kwa kasi na ufagio, kupigana na ufisadi, tukajuwa Sasa tumepata mkombozi Mungu kasikia maombi yetu, tukajuwa huyu atatuletea mabadiliko, eh Mwenyezi MUNGU amulinde, Tanzania iwe ya Watanzania wote, lakini isiwe. Ameapa atawalinda wote waliyoitafuna nchi na kuiacha mifupa mitupu. Cha kusikitisha zaidi ni kumtetea Mkuu wa Mkowa aliyejifanya kama mfalme wa Tanzania na watu wote ni wafuasi wake. Kuingia na mabunduki kuwatisha raia wasiokuwa na silaa, inasikitisha. Kuweka watu ndani kwa mda sheria hairuhusu,na kila mtu kimya kwenye chama. Nape, kiongozi aliyesimamia ukweli bila haki akaachishwa kazi, Viongozi kwenye chama tawala wamekaa kimya wameshindwa kutetea haki kama watoto wa shule wanaomuogopa Mwalim mkali. Tanzania na watu wake ni kubwa kushinda chama cha siasa chochote. Viongozi wanakuja na kwenda
Rais Trump wa Marekani amepingwa na chama chake kwa kutaka kutenguwa Obama care, Viongozi hawa wamewaweka watu mbele, na siyo Rais Trump, wamekataa kuwa upande wa Rais ingawaje Rais ametoka kwenye Chama chake{, wameitetea sheria inayowachunga watu bila ya Uwoga. Mwakyembe kukubali kutenguliwa na kupewa nafasi ya mtu aliyetenguliwa kwa kutetea haki, na kuikubali nafasi hiyo! Ameshusha heshima yake sana. JE Watanzania tuna hope gani kwa Viongozi kama hawa wasio na msimamo na ambao ndiyo wengi tunao?
 
Hmmm! Naanza kukupenda Mama Obama jinsi unavyoandika ukweli bila kupindisha. Hongera sana kwa hilo. Nadhani umeanza kukiona na kukielewa kile ambacho wengi tulikuwa tunakisema humu.

Tabia hii hana Mwakyembe pekee, karibu Viongozi wote wanafumbia macho mabaya, na imewafanya Watanzania kuishi kwa mateso makubwa. Kwa mufano pesa za Escrow pamoja na wizi mkubwa uliyotokea, mambo yanazimwa, Watanzania wanasahau, na Viongozi wetu wanalindana kwa mateso yetu. Na kila mtu kimya. Viongozi wetu wamefaidika kwa kuwadhurumu walio wengi, Hakuna chochote kimetokea, tulidanganyika kuwa watu waliohusika watachukuliwa hatua, wengine wakaweka zaidi ya mawakili kumi kupigana na wanyonge. Mategemeo makubwa wakati Rais Magufuli aliposhika madaraka, wengi tulikuwa hatuamuamini kama ataleta mabadiliko, lakini alipoanza kwa kasi na ufagio, kupigana na ufisadi, tukajuwa Sasa tumepata mkombozi Mungu kasikia maombi yetu, tukajuwa huyu atatuletea mabadiliko, eh Mwenyezi MUNGU amulinde, Tanzania iwe ya Watanzania wote, lakini isiwe. Ameapa atawalinda wote waliyoitafuna nchi na kuiacha mifupa mitupu. Cha kusikitisha zaidi ni kumtetea Mkuu wa Mkowa aliyejifanya kama mfalme wa Tanzania na watu wote ni wafuasi wake. Kuingia na mabunduki kuwatisha raia wasiokuwa na silaa, inasikitisha. Kuweka watu ndani kwa mda sheria hairuhusu,na kila mtu kimya kwenye chama. Nape, kiongozi aliyesimamia ukweli bila haki akaachishwa kazi, Viongozi kwenye chama tawala wamekaa kimya wameshindwa kutetea haki kama watoto wa shule wanaomuogopa Mwalim mkali. Tanzania na watu wake kushinda chama cha siasa chochote. Viongozi wanakuja na kwenda
Rais Trump amepingwa na chama chake kwa kutaka kutenguwa Obama care, Viongozi hawa wamewaweka watu mbele, na siyo Rais Trump, wamekataa kuwa upande wa Rais ingawaje Rais ametoka kwenye Chama chake{, wameitetea sheria inayowachunga watu bila ya Uwoga. Mwakyembe kukubali kutenguliwa na kupewa nafasi ya mtu aliyetenguliwa kwa kutetea haki, na kuikubali nafasi hiyo! Ameshusha heshima yake sana. JE Watanzania tuna hope gani kwa Viongozi kama hawa wasio na msimamo na ambao ndiyo wengi tunao?
 
Mama Obama lkn pamoja na yote haya ww na wenzako 2020 mtaanza kuimba Iyena Iyena,Iyena Iyena,Iyena iyena CCMni nambari One
 
Niliwahi sema Mwakyembee ni msomi wa sheria kiwango cha PHD, lakini hana hekima. Ana elimu kubwa lakini hajamsaidia wala kumjengea uwezo wa kufanya maamuzi sahihi kama kiongozi.

Hana msimamo wala anachokiamini. Kama kipo anachokiamini, basi ni Madaraka.

Wanaofuatilia na kutafakari juu ya mwenendo wa mwanasiasa huyo, wanadai tatizo lake ni hamu ya madaraka.

Yuko tayari kuitikia hata asiyoyapenda au kusaliti Mtazamo wake ili kulinda au kupata Madaraka.

Madaraka ni kilevi chake. Kila penye harufu ya Madaraka ni tatizo kwa Mwakyembe.

NINA MIFANO MICHACHE.

1.JK akiwa rais alimwona Mwakyembee anavyopambana bungeni. Haikuchukua muda kumsoma anachotaka. Ndipo JK akampa unaibu waziri na baadaye uwaziri kamili. Akatulia.

Baada ya kupata alichokuwa anakitafuta, ukawa ni mwendo mdundo kufanya lolote ili kushikilia alichonacho.

2.Aliandika andiko la PHD yake ya sheria. Huko alijadili akidai Muungano wa serikali tatu unafaa. Kwa ubora wa andiko hilo akapewa PHD.
Wakati kuandika katiba mpya ndani ya BMK alibadilika kuunga mkono serikali mbili. Alisaliti hata andiko lililompa heshima ya udaktari.

3.Alipokuwa waziri wa katiba na sheria, alifikiria na alisema atakifuta chama cha wana sheria Tanganyika(TLS) kwa sababu aliyegombea na kushinda urais wa chama hicho hapendwi na serikali, hata boss wake. TLS aliyotaka ifutwe ndio iliyompa heshima ya kuwa wakili.

4.Amepewa cheo cha uwaziri wa habari na michezo. Ameanza kazi kwa kuonesha umma kuwa mtangulizi wake alikuwa anakosea. Yote haya ni katika kuhalalisha makosa ya boss wake ya kumfukuza kazi waziri aliyetaka kumwajibisha mpendwa wake RC wa DSM.

5.Mwakyembee anazungumzia natural justice. Anasema kamati ya Nape haikumhoji RC wa mkoa wa DSM, wakati anajua RC huyo, alitoroka asihojiwe.

6.Lakini, Mwakyembe huyu huyu mwaka 2008 alikwenda kinyume na principle ya Natural justice. Aliwahi kuwa mwalimu wa sheria chuo kikuu cha DSM.

Alikuwa mwenyekiti wa kamati teule ya bunge 2007 iliyochunguza sakata LA Richmond.Alitoa Ripoti februari 2008 iliyomhusisha aliyekuwa waziri mkuu(Lowassa) akijua kuwa kamati yake hakumhoji au kumpa nafasi Lowassa kujitetea.

8.Baadaye mwakyembee alisimama bungeni na kudai kuna mambo aliyaficha ili kulinda heshima ya serikali.Mpaka Leo haweka hadharani mambo aliyoyaficha.

9.Huyu ndiye mwanasheria anayesifiwa na JPM kuwa ni mzuri na akaridhika na kuchekelea. Lakini,anayemsifia ndiye aliyemwondoa kwenye wizara ya katiba na sheria, inayoendana na taaluma yake ya sheria. Ina maana haridhiki naye. Hajui hilo.

Watu wa aina hii ya Mwakyembe mwisho wao huwa ni fedheha.

kibonadickson@gmail.com.
Hilo la Namba 2 ni very serious. Nakumbuka wakati wa mjadala wa Bunge la Katiba, Mheshimiwa Tundu Lissu alimkumbusha Mheshimiwa Mwakyembe kuhusu hiyo Thesis yake ya Serikali Tatu kama suluhisho la kero za Muungano wa Tanzania. Cha ajabu mpaka leo hajakanusha hilo aliishia kusema " haya mambo si rahisi kama yanavyoonekana". Kwa nini utetee kitu ambacho hukiamini? It is like believing in catholicism without believing in Papal infallibility.
 
Back
Top Bottom