Recent content by KIBUGAmk

  1. KIBUGAmk

    JamiiForums Tanzania Anawezaje kupata Chuo?

    Mkuu huelewi hata maana ya huo msemo ngoja nikusaidie,, hiyo falsafa inamaanisha kwamba kiongozi anaye fuata sheria lazima atachukiwa na watu wengi, that means kiongozi hawezi akapendwa na kila mtu hata raisi wa nchi akifuata sheria lazima watu watamchukua, ""umeona sasa kaka yake nilivyo na...
  2. KIBUGAmk

    JamiiForums Tanzania Anawezaje kupata Chuo?

    Amemaliza 4m4 hakuchagua kwenda advave bali chuo so bado anasubiri selection
  3. KIBUGAmk

    JamiiForums Tanzania Anawezaje kupata Chuo?

    H Hataki kuwataja famous Bali anataka kuwa na urafiki na kila mtu chuoni
  4. KIBUGAmk

    JamiiForums Tanzania Anawezaje kupata Chuo?

    Ni kidume cha shoka💪💪
  5. KIBUGAmk

    JamiiForums Tanzania Anawezaje kupata Chuo?

    Anataka kuwa mtu wa watu
  6. KIBUGAmk

    JamiiForums Tanzania Anawezaje kupata Chuo?

    Yeye alichagua kwenda chuo bado anasubiri selection
  7. KIBUGAmk

    JamiiForums Tanzania Anawezaje kupata Chuo?

    Wandugu kuna mdogo wangu ambaye amehitimu kidato cha nne mwaka jana na wakati wa kujaza selform, alichagua kwenda chuo, sasa alikuwa anauliza ni kwa namna gani anaweza akapata connection hapo chuoni, na ni kwanamna gani anaweza kutengeneza marafiki wengi awapo chuoni, ikibidi hata chuo kizima...
  8. KIBUGAmk

    JamiiForums Tanzania Wafuatao siwezi kuwashauri kitu kingine zaidi ya kuwataka warudi shule na kuongeza elimu.

    Na sisi wa la saba D twende wap
  9. KIBUGAmk

    JamiiForums Tanzania Kuna hasara gani endapo mtu atasoma form 5&6 (A level) kwa shule za private,?

    Kuna hasara gani endapo mtu atasoma Form 5&6 katika shule za private? Msaada jamani
  10. KIBUGAmk

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Mambo mengi mno
  11. KIBUGAmk

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi mwanamke anavyojua kutongoza

    Si Hii itakua uji ya chumvi mkuu😂😂sijui la wapi hili jamaa
  12. KIBUGAmk

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi mwanamke anavyojua kutongoza

    Nilitumia chujio shekhe😂😂
Back
Top Bottom