Recent content by Kibstec 09

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge Godbless Lema akamatwa na polisi

    sasa si uingie uandamane mnatusumbua humu mitandaoni......
  2. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wawarudisha UKAWA Bungeni

    Posho ndio zimewarudisha bungeni Waaache kisingizio cha VIONGOZI wa DINI......What if tukisema ni wao ndio wamewafosi VIONGOZI wa DINI wajifanye WAMEWAOMBA UKAWA warudi BUNGENI???? HAPA WANATUMIA VIONGOZI WA DINI AS A DEFENCE MECHANISM YA WAO KURUDI BUNGENI.....hakuna lolote ni njaa zao ndio...
  3. K

    JamiiForums Tanzania BAVICHA:- Ukweli duniani na mbinguni kuhusu Septemba 1 ya Tanzania mpya

    Afu hivi vijamaa so called BAVICHA tokea utawala wa Dr. Magufuli umeingia madarakani vimeishatoa matamko kibao ambayo yanaitaji utekelezaji LAKINI hakuna hata moja ambalo wamefanya kwa VITENDO.....lakini nenda kakague POSHO au pesa iliyotumika juu ya haya MATAMKO ni zaidi ya BALAAA......yAANI...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kutwanga nisile unga, ninazuia mchi wangu (Chadema! Hapana, hapana, hapana.)

    Daah mkuu kwanza naomba nikupongeze kabsa KWA ULICHOANDIKA HAPA kwa hisia kali kabsa.......SISI ni miongoni mwa watu tunaoamini kutofanikiwa kwa CHADEMA chenye hili LA UKUTA...kwanini nasema hivyo kwa sasa sioni kabsa support ya VIJANA KWENYE HILI LA UKUTA zaidi ya hawa vijana WA bavicha...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa kutoka ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuhusu operesheni UKUTA

    Hizi ni propaganda tuu za haya mataifa ya kigeni...Hivi tangu lini yakawatakia waafrika mema..... Ukiiangalia hii taarifa yao ni njia moja ama nyingne ya kuchagiza huu upuuzi unaoitwa ukuta.....What if haya mataifa ya kigeni especially wana injinia huu uchafu????Wasituretee propaganda zao...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa atabiri siasa ngumu

    Mkuu me nilidhani haujaelewa nilichoandika....kumbe UMEELEWA....<sometimes you have to be unique>
  7. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakiwa Kanisani wakiomba kabla ya kujipanga na UKUTA

    Nashukuru mkuu umeliona hili.....HAPA TATZO NI KWA NINI WAMEVAA SARE KANISANI????
  8. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa atabiri siasa ngumu

    WANANCHI WA WAPI MKUU???? Tatzo lenu mnaamini WATANZANIA WA KUANDAMANA WANAPATIKANA jamii forum hizo ndizo akili ZENU ZINAVYOWATUMA.....what i believe kama ni mtu anaejitambua HUWEZI POTEZA MUDA WAKO KUSHABIKIA UJINGA ili hali hata RAIS awe nani kama huwezi jishughulisha mwenyewe hauwezi jiletea...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Chadema na Ukawa hawakubali Ushauri, Wanaanza Kunitia Hasira!

    Mkuu hongera sana kwa kutokuwa MNAFIKI.....nadhani tayari umeisha kuwa na HISIA juu ya kutofanikiwa kwa CHADEMA katika hili la UKUTA....maana mwamko kwa wananchi juu ya HILI HAUPO kabsa ilah kitakachotumiwaa na CHADEMA ili kuleta hisia kubwa ni WAO KUTUMIA PESA KURUBUNI VIJANA NA HAYO NDIO...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Je kwa sasa kuna hali ya hatari?

    ndIO MAANA TUNASEMA HAYA NI MADHARA YA KUMWAZIMA MBOWE AKILI ZAKO.....hao waandamanaji millioni moja UMEWAONA WAPI????
  11. K

    JamiiForums Tanzania Pendekezo juu ya maandamano ya 1st September

    Kwa wale wananchi wote wanaokubalia na wanachosema hawa viongozi wa CHADEMA juu ya raisi wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ya kuwa yeye ni DIKTETA na mpaka kufikia wao wanaitisha maandano nchi nzima ya siyo kuwa na ukomo....Sasa mimi nawaomba wale wote wanakubaliana na KINA MBOWE juu ya hili...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: MKT wa CHADEMA, Freeman Mbowe, Kuanza Ziara ya Ulaya na US Kupitia Dubai 28/08/2016? !.

    Wewe maisha yako ni rahisi???Mwenzio ana uhakika wa kupata mshahara wake mwisho wa mwezi na tunalitambua hilo...Vipi kuhusu wewe???YAANI WEWE NDIO UNA MAISHA MAGUMU....ndio maana umeamua kusingizia wenzio
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwa aina ya mazoezi niliyoyaona Ukonga na Moshi, wana UKUTA badilini gia!

    WEWE ebu ficha ulichoandika hapo juu...NANI KAKUAMBIA HILI SUALA LA UKUTA WA KIJINGA NI LA WANANCHI?????hili ni suala la hao wachumia tumbo na watafuta kiki wakiongozwa na huyo zero BRAIN
  14. K

    JamiiForums Tanzania MwanaKJJ Ijumaa: CHADEMA kwenye UKUTA Waachwe Waandamane...

    To be honest Mwanakijiji umtoa ushauri mzuri sana......Hapa serikali iwaruhusu HAWA WACHUMIA TUMBO NA WATAFUTA KIKI Kwa matukio waandamane kwa kipindi fulani huku wakipewa ulinzi wa jeshi la polisi then pia na sisi tunaomuunga mkono RAIS wetu pia tuandamane kwa kipindi fulani na sisi tuwepewe...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, unaua Uchumi wa nchi makusudi au ni sabotage?

    Mkuu umejuaje....yaani wamemwaga kweli humu kutetea ujinga
Back
Top Bottom