Lowassa atabiri siasa ngumu

Lowassa atabiri siasa ngumu

Aliyekuwa mgombea wa urais kupitia UKAWA, atabiri siasa ngumu baada ya kupangwa kanda ya Mbeya kuendesha operation UKUTA.

Chanzo: Gazeti Mtanzania
Huyu Mzee wa watu wanamtesa sana kwa nini asipumzike tu? Uwezekano wa CDM kuchukua Nchi haupo na hautakuwepo kwa miaka 50 ijayo! Bora wangempumzisha tu afannye biashara zake!
 
Mkuu unaweza kuwa na logic ila nauliza darasa la kwanza na la pili hukupita? Matumizi ya herufi kubwa na ndogo humjui au?
Mkuu me nilidhani haujaelewa nilichoandika....kumbe UMEELEWA....<sometimes you have to be unique>
 
yale tuliyosema sisi kina gogo la shamba kwamba,miaka hii mitano itakuwa ya kusikia na kuona mambo mengi ya ajabu yameanza
 
WANANCHI WA WAPI MKUU???? Tatzo lenu mnaamini WATANZANIA WA KUANDAMANA WANAPATIKANA jamii forum hizo ndizo akili ZENU ZINAVYOWATUMA.....what i believe kama ni mtu anaejitambua HUWEZI POTEZA MUDA WAKO KUSHABIKIA UJINGA ili hali hata RAIS awe nani kama huwezi jishughulisha mwenyewe hauwezi jiletea maendeleo mwenyewe......NA TENA WEWE UNAWEZA KUWA NI MMOJA WAO MNAOPIGA KELELE HUMU MITANDAONI LAKINI ACTION NI ZERO
Kama hata wananchi wa kuandamana unaamini hawapo sasa inakuwaje serikali itumie nguvu kubwa kiasi hicho kupambana na UKUTA!???.
 
Back
Top Bottom