Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Kwanza tunakubaliana na mhe. Tundu Lissu kawasaidia kuzidi weka wazi kua tupo kisheria na wanaozuia kwa maslahi yaliyofichika na si sheria za nchi hii labda mpaka wazifute zilizopo hadi leo mpaka sept 1 na baada ya hapo kua tunahaki ya kufanya mikutano na maandamano ya amani ... Soma
"Nimemsikia Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi akisema kwamba ameitisha mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa na CHADEMA ili kujadiliana kuhusu mikutano ya hadhara na maandamano ambayo CHADEMA imeitisha nchi nzima kuanzia Septemba Mosi. Nimemsikia Msajili Mutungi akisema ni busara kwa vyama vya siasa kuheshimu sheria za nchi yetu. Mimi nakubaliana. Hata hivyo, namwomba Msajili Mutungi atusaidie kutuelewesha mambo yafuatayo: (1) Sheria ya Vyama vya Siasa imetamka kuwa kila chama cha siasa kilichosajiliwa kina haki ya kufanya mikutano ya hadhara na maandamano. Aidha, vyombo vya ulinzi vina wajibu wa kutoa ulinzi ili kuwezesha mikutano na maandamano hayo kufanyika kwa amani na utulivu. Maadili ya Vyama vya Siasa ya 2007 yamerudia msimamo huo huo. Je, yeye kama Msajili anakubaliana na sheria
---------------------------
BAVICHA we strongly support and agreed the legal panorama... Watawala sijui hawasomi au hawajui? Au wamepatwa na nini... Ni wakati wa kupima Hekima na busara. Kulinda na kuitetea katiba na sheria za nchi leo wanazisaliti hadharani na waziwazi na kubagua na kunyanyasa watanzania kwa makundimakundi kwa mamlaka tuliyowapa hivi Ibara ya 3, 8, 20 na 21(2) za Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na sheria ya vyama vya siasa 1992 zimefutwa? Au... sisi wageni jamani hapa Tanzania? hebu Watanzania fatilieni ukweli wake labda zimefutwa kweli hamjui. Stand up to be counted... A man die by shading blood for his nation and beloved ones and not shade tears when his beloved and the nation is in Jeopard and chaos. Ni busara haki, wajibu na mipaka iliyowekwa kikatiba na kisheria ikaheshimika kuondoa chuki uhasama uchochezi na malumbano yasiyo na afya kwa taifa... Mtafunga wangapi? mtaua wangapi? Mtajeruhi na kutesa wangapi na mpaka lini? Je mkifanya hivyo fikra na mawazo yanayoishi hata baada ya mauti mtayafunga vipi?Watakao uwawa walio katika haki kwa matumizi mabaya ya madaraka yenu mtawakuta mbinguni ndio wanazamu ya kuchochea moto. Uongozi ni jalala sio madhabahu. Ubaguzi ni udhaifu mkubwa, na ubabe ktk kila jambo ni ushahidi wa kuficha udhaifu na kutokubali mawazo ya wengine nakudhani u bora zaidi kumbe watu waogopa tu kukwambia ukweli kua uko uchi ila wanasema umevaa full suti naukaamini hivyo nakuchekelea ukisema asante.
Patrobas Katambi
Mkt BAVICHA Taifa.