Recent content by kibosilee

  1. K

    JamiiForums Tanzania Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?

    Removing the vaccined. Tazama mpaka mwisho ufahamu technologia ya hizi chanjo
  2. K

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    https://t.me/+InTPiLDAhQNjMGI8
  3. K

    JamiiForums Tanzania Naomba tuwekane sawa kidogo kuhusu mgogoro wa Urusi na Ukraine

    Kitachotuhusu sisi ni kuongezeka kwa gharama za maisha tu,hata tukiwa upande gani hatuepuki hilo
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tukio la kifo cha Sheikh Abeid Karume hatua kwa hatua

    [emoji23][emoji38][emoji16][emoji23] Jamaa kaandika mambo adimu sana kwenye kile kitabu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tukio la kifo cha Sheikh Abeid Karume hatua kwa hatua

    Huwezi kukikuta kwenye mtaala wowt maana watasema kinaleta chuki na simulizi za uongo
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

    Inasikitisha mambo mengi sana yamefichwa
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tukio la kifo cha Sheikh Abeid Karume hatua kwa hatua

    Kile cha KWAHERI UKOLONI,KWAHERI UHURU wameongelea haya yote
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

    Kuna kile kitabi kinaitwa KWAHERI UKOLONI,KWAHERI UHURU kimeongelea mambo yote
  9. K

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    https://t.me/+InTPiLDAhQNjMGI8
  10. K

    JamiiForums Tanzania Vita baina ya Urusi na Ukraine

    Joined 2022
  11. K

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Just Western Media on action
  12. K

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Fanya hivyo kiongozi utaongeza kitu humo.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ndo hivyo hata mimi nilipata shida sana kuipata hiyo doc maana sehemu nyingi sana ilikuwa inazuiliwa kuipakua. Mpaka jana nikamuomba mwenyewe ndo akanitumia link.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kiongozi mbona ni MB chache sana hizo.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hii documentary inaelezea kwa kina namna mgogoro wa Ukraine tangu miaka ya nyuma na nani huwa ndio wapo nyuma yake. Humu wamehojiwa Maraisi na Viongozi wa juu ambao wamewahi kuiongoza serikali ya Ukraine na kupinduliwa. Hii video imekuwa-banned kwenye Social Media mbalimbali. Kwenye hii video...
Back
Top Bottom