Recent content by Kibororoni

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanateswa na wanawake wa aina hii lakini wanaumia ndani kwa ndani matokeo yake kupelekea maafa

    Bro unaishi maisha ya stress sana. Aina ya mwanamke uliyenaye nilishaachana naye kitambo Kwa sasa Nina Amani tele. Uwezi kuishi na mwanamke wa namna hiyo utakuja kufa wewe. Mtoto mmoja sasa umepitia changamoto za hivyo je Mkifikisha 4 utakuwa umepitia mitihani mingapi?. Ndivyo alivyofundwa kwao...
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tumeachana rasmi

    Hata kumpelekea moto ulishindwa. Kama huna hela basi kupeleka moto usishindwe. Ndo utaratibu!.
  3. K

    JamiiForums Tanzania True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

    Pole sana mkuu. Naamini utakuwa salama kwa kuws umechukua hata mapema iwezekanavyo.
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mpenzi wangu ni mkavu sana na hataki nimchezee kwa vidole

    Mpeleke hospitali au mshauri aende hospital atahudumiwa bila shida yyte. Niliwahi kukutana na adha ya namna hiyo ilinipa shida sana. Tatizo hilo linasababishwa na homorne imbalance wakati mwingine ni ukosefu wa lishe zenye virutubisho Fulani. Wataalamu wa afya wanalimaliza kabisa suala ilo na...
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni staili gani nzuri unaweza kuitumia kuishi na mwanamke mwenye kiburi na jeuri

    Usiniambie kabisa mwanamke wa namna hiyo. Nimeishi naye kwa miaka nane nilipitia mengi. Kibri, dharau kauli za matusi, kujipangia apendavyo. Nilipofika hatua ya kuchoka kabisa sikuomba ushauri kwa MTU. Nilibwaga manyanga jumla. Kwa sasa Nina Amani ya Moyo na afya tele. Najisikia wa furaha...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Huenda Joanfaith John Kataraia is best DED of the history, anajituma sana huyu binti

    Bro umezingua sana. Kuwekwa hereni tu kwa mang'ombe kashakuwa DED bora. Hizo ear tags ni Sera na mipango mikakati ya Wizara ya mifgo na Uvuvi. Halmashauri hawanaga hizo bajet. Kwenye hili unasimulia usichokijua. Tangu lini Halmashauri ikawa na uwezo wa kujenga jengo la ofisi la ghorofa. ? Ww...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

    Hapo walipokushusha patakuwa jirani na kijiji cha Mtange na bila shaka hapa kwenye mabwawa ya chumvi ni shamba la chumvi la Taasisi ya Magereza. Kiukweli ni nje ya mji. Almost 25 km kutoka Lindi mjini. Ni kweli ni Porini. Lindi yote napajua sana mimekaa miaka 7. Haya tuendelee na simulizi.....
  8. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anawezaje kujenga zahanati 564, Vituo vya Afya 304 na Hospitali 68?

    Naona una maaba makubwa na rais wako. Kwa hiyo mikopo ya Matirioni ya fedha yaliyokopwa huko Ulaya hujawahi kuyasikia?. Si ndivyo?. Hauishi Tz?. Hizo fedha za Matozo ya simu tunazikatwa tunapoenda kwa wakala kutoa visijenti vyetu kununulia nyanya na zile tunazotuma kwa bibi zetu wanunue...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar, sasa kuchangia robo tatu ya bajeti ya nchi

    Hii haipo sawa. Waziri husika na wataalamu wake Planners wa wizara wote kazi yao haswa ni nini? Mishahara ya mamilioni wanalipwa kwa ajili gani?. Kwamba nchi haina wataalam kabisa wa kuendesha bandari kwa ufanisi na tija?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Msamaha wa Ushuru kwa Watumishi wa Umma

    Thanks kwa mwongozo.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa Kinyakyusa toka Mbeya wa kuishi naye

    Ukweli Mtupu
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Ngorongoro Jumaa Mhina yamkuta tena

    Waziri wa utumishi amefafanua vyema kuhusu sheria za utumishi. Likizo ni haki ya mtumishi kisheria. Mamlaka ya mkuu wa mkoa kumkataza Mtumishi asiende likizo anayatoa wapi kisheria?. Mchengerwa amefafanua sana juzi tu hivi. Tuzingatie sheria tulizojitungia na Utawala bora.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Kiroboto ulishindwa akiwepo godfather, utaweza leo?

    Kwa hiyo kwa lugha rahisi ni kwamba hii ni vita ya wenyewe kwa wenyewe.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ushahidi kuntu kuhusu utapeli uliojificha ndani ya biashara ya dada wa kazi (house girls)

    Mzee baba mpaka umefikisha mabinti wote hao na changamoto zao hizo huachi kuwatumia madalali?. Huna ndugu zako au ndugu wa mkeo wakatafte mabinti huko makwao ?. Achana na madalali hao ni zaidi ya danger.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mafao yameingia kwenye account ya mahakama ya wilaya Temeke, tumezungushwa mpaka tumechoka

    Nenda PSSSF au kama NSSF ndo ilihusika kutoa hiyo Pension peleka malalamiko ikishindikana nenda kwenye Wizara inayohusika ueleze changamoto hiyo. Mbona hata TAKUKURU anaweza kwenda pia tena wanasaidia sana kwenye kuokoa hela za Pension.
Back
Top Bottom