Jamani eheee... tutajaziana nyaraka na majibizano yasiyo na tija kwenye simu zetu. Lakini ukweli utabaki kuwa ukweli kwamba Pesa inaongea ...money talks. Hapa Mpendahela keshapata mgawo ktk 10bn.
Msituaminishe wa TZ kwamba ushindi ktk uchaguzi ni kwa kupigana. Mwaka huu hapigwi mtu maana kuna kila dalili kwamba atakayeshinda atashinda kwa ushindi Mkubwa sana kiasi kwamba mshindwa ataona hata aibu kupinga matokeo. Hata akijidai kuyakataa matokeo walimwengu watamshangaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.