Recent content by kiborinangari

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naweza kuoa mwanamke aliyetalikiwa na rafiki yangu?

    Chanzo cha kutalikiana inaonekana ni shetan wewe Wakigombana ndan ukifuatwa kama msuruhish na rafik wa karibu wa jamaa Wewe unachochea ugomv ili uvune haram na dhambi Anyway sikuwepo najaribu kuisawir picha.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mwili wa commando Lt. Mlima kuwasili leo

    Si mpaka movie iishe
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada: Mdudu anayekuza manyonyo

    Fuku fuku njoooo baba yako kaja kakuletea maziwa na asali
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ray C afungua mlango kwa Mwanaume yeyote anayetaka kumuoa

    Kamnunue supermarket
  5. K

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ni uzembe wako kwann msihesabu hpo hpo
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawapenda sana malaya

    Sema hiv " nautaman sana ukimwi hila sijaupata"
  7. K

    JamiiForums Tanzania Papa Msofe ni mfanyabiashara au tapeli Maarufu?

    Anakula samak wadogo I mean anawakandamiza wafanyabiashara wadogo ili ajitajirishe
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Bariadi amwomba Rais amfukuze kazi

    Romboo
  9. K

    JamiiForums Tanzania Fingerprint za Mke wangu, zimegoma kusoma kwenye BVR

    Mbona umeshadadia kujichumbua????? Unamnunulia hzo cream ???? Ni rang yake kazaliwa nayo anyway ni mwarabuu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Fingerprint za Mke wangu, zimegoma kusoma kwenye BVR

    Pole sana anapaka bright light au mamiz. Pole ww kama unagushi rang
  11. K

    JamiiForums Tanzania Fingerprint za Mke wangu, zimegoma kusoma kwenye BVR

    Kama wewe au umemzid kidogo
  12. K

    JamiiForums Tanzania Fingerprint za Mke wangu, zimegoma kusoma kwenye BVR

    Its natural colour
  13. K

    JamiiForums Tanzania Fingerprint za Mke wangu, zimegoma kusoma kwenye BVR

    Ndiyo kwa mtu aliyefata ilkubar hla yeye tu aisom
  14. K

    JamiiForums Tanzania Fingerprint za Mke wangu, zimegoma kusoma kwenye BVR

    Habar rafiki zangu naomba kujuzwa. Leo asubuhi nimeenda na wife ni mjamzito kuandikishwa hili kupata kitambulisho cha mpiga kura, Chaa ajabu ilivyofika zamu ya mke wangu fingerprint zimegoma kusoma. Akaambiwa akanawe na sabuni, but ni same thing. Sasa imegeuka kitu kipya hata mwandikishaji...
Back
Top Bottom