Recent content by KIBORIANI

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa vyeo vya jeshi la magereza tanzania toka juu mpaka chini

    Nina masters mkuu lkn sijapata kazi ya kueleweka
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa vyeo vya jeshi la magereza tanzania toka juu mpaka chini

    Ha ha ha hapana, ila nimeishi pale kituoni njia ya kuelekea huko
  3. K

    JamiiForums Tanzania Uzuri wa mwanamke tabia, kwanini unamuangalia makalio?

    Yaani matiti makubwa, madogo au?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa vyeo vya jeshi la magereza tanzania toka juu mpaka chini

    Nashukuru kwa ushauri lkn ninapenda kujua hayo mambo niliyoyauliza ili niweze kufanya maamuzi
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa vyeo vya jeshi la magereza tanzania toka juu mpaka chini

    Wakuu naomba mnisaidie kunipa ufafanuzi na kujua mfumo wa vyeo vya jeshi la magereza tanzania toka juu mpaka chini.Pia ninaomba kujua mshahara na marupurupu wayapatayo maaskari wa jeshi la magereza Tanzania wenye proffession. Nina interest ya kujiunga na jeshi hilo kama ikiwezekana sipendi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wameishakata tamaa Kalenga kabla hata ya half time.

    Kama ulikula rambirambi umelaaniwa wewe, hutokujafanikiwa na hata ukifanikiwa mafanikio yako hayatadumu
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mbeya na mambo yao

    Mbeya yetu kwa kweli imebarikiwa
  8. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu hivi vitu : Chuma ulete, ngekewa, liwa, maji meusi na vingine

    Wakuu ninaomba kwa anayefahamu kuhusu hivi vitu yaani chuma ulete, ngekewa , liwa, maji meusi na vingine vikihusishwa na utajiri. Naomba mnifafanulie ni vitu gani? huwa navisikia ila sivielewi.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu hivi vitu : Chuma ulete, ngekewa, liwa, maji meusi na vingine vikihusisha u

    Wakuu ninaomba kwa anayefahamu kuhusu hivi vitu yaani chuma ulete, ngekewa , liwa, maji meusi anifafanulie ni vitu gani? huwa navisikia ila sivielewi.
  10. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwalimu kutoka shule ya Vikindu sekondari Mkuranga karibu na dar es salaam, anatafuta mwalimu wakubadilishana kituocha kazi kutoka mji wa Makambako - Njombe. sababu kumfuata mumewe. pm
Back
Top Bottom