Recent content by Kibombeko

  1. Kibombeko

    JamiiForums Tanzania Leo juma ngapi?

    Nasihi itakuwa JUMA saba maana kesho ni jumanane
  2. Kibombeko

    JamiiForums Tanzania Msaada nataka kwenda Auckland New Zealand kutafuta life

    Kweli unajua pia siyo watu wote wanaweza kuziona fursa pia hata wachache wanabahatika wanakutana na changamoto ya kuzitumia ila kweli vijijini fursa zipo nyingi sana sema mitatazamo yetu na rasilimali za kutuwezesha kuzitumia fursa ndo tatizo lilipo. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Kibombeko

    JamiiForums Tanzania Natamani kuona Polisi wakienda kulinda amani mataifa ya nje (Peacekeeping)

    Idadi yao ni ndogo alafu bado hata mahitaji ya ndani hawajakidhi ndo maana wanapeleka wachache
  4. Kibombeko

    JamiiForums Tanzania Military Intelligence Coup: Kisa cha rubani aliyeiba na kutoroka na Ndege ya Kijeshi ya Iraq

    Alafu tunajiita wazalendo!
  5. Kibombeko

    JamiiForums Tanzania Walimu 2 wa physics wanahitajika

    076585561 wasiliana huyo yupo vizuri kwa masomo ya science
Back
Top Bottom